Wakunitoa Ijumaa

Wakunitoa Ijumaa

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,749
Reaction score
1,002
Hembe nyie wanaume kagueni mifuko yenu.

I can drink only 7 savana @ 4,500/= na Mbuzi choma 10,000/= sina gharama madadii wangu.
Excel upo?
 
Last edited by a moderator:
Hembe nyie wanaume kagueni mifuko yenu.

I can drink only 7 savana @ 4,500/= na Mbuzi choma 10,000/= sina gharama madadii wangu.
Excel upo?

Loading..........
 
Last edited by a moderator:
Hembe nyie wanaume kagueni mifuko yenu.

I can drink only 7 savana @ 4,500/= na Mbuzi choma 10,000/= sina gharama madadii wangu.
Excel upo?

Kweli huna gharama mdada , sasa weka namba ya simu tigo au voda mimi nakurushia 50,000 kabisa ukiwa savana ya sita niambie nije !
 
Hembe nyie wanaume kagueni mifuko yenu.

I can drink only 7 savana @ 4,500/= na Mbuzi choma 10,000/= sina gharama madadii wangu.
Excel upo?

Kama upo Arusha PM nikupe namba ya simu tuwasiliane jioni
 
Last edited by a moderator:
Kweli huna gharama mdada , sasa weka namba ya simu tigo au voda mimi nakurushia 50,000 kabisa ukiwa savana ya sita niambie nije !

071326.80. gues hizo number mbili
 
labda nikuweke order maana mi mme wa mtu naona unanja mtoto mzuri
 
outing yangu ni viroba kick, bingwa, senator tuu, kula utakula kwenu
 
we mtoto njoo bills ukifika pale kwa mabouncer waambie unamtaka Nyamiela wataniita as am very porpular hapo
 
Back
Top Bottom