Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

hahahahahaha hahahahahaha heheheheheheh teteteteteh kama na wewe hakukuvutisha bangi itakuwa bahati

FL1 huu ubongo wa klorkwin unaona hauna chembe za ganja kweli!!! hahaaaa klorokwin nakufatilia kwa karibu ningeshangaaa usikomenti hapa!!
 
Tena Hapo unaongeza na kile kigeregere kikaliiiiii cha iyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,iyuuuuuuuuuuuuu,alafu Hodi Hodi Twaingia!..................
Kamata senksi kwanza!!!!!
ahahahahaha dah ilikua balaaa,kipindi hicho umishumita iko juu balaa..ukikosa unakosa raha mwezi mzima!!!
 
leo MBU watajijua na plasimodiumu zao!..:
The Following User Says Thank You to Geoff For This Useful Post: klorokwini (Today)

The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post: klorokwini (Today)

Na hapa je? Leo sishushi neti! Acha mbu wajing'atie mpaka wachoke!
fo zis twu veri uziful posti indiidi nitawarekomendi kwa kikwete neksti taimu akipiga picha na droguba na nyie muwemo kwenye picha.
greti thinka nipo veri sirias hapa!
 
umenikumbusha,tulikuwa tunaenda mtoni kuvinda vidudu vyeusi hivi,sijui kama ni samaki au la,then unaweka kwenye maziwa ili ang'ate,alafu panavimba,unafurahi na kujitapa maziwa yameanza kuota,kweli natamani kurudi nyuma

Najuta kutokujua mapema kama wewe ni She! Najuta Sana!
 
FL1 huu ubongo wa klorkwin unaona hauna chembe za ganja kweli!!! hahaaaa klorokwin nakufatilia kwa karibu ningeshangaaa usikomenti hapa!!
wafuasi wangu ninaowahubiria neno la mungu wakiona komenti yako hii wanaweza wakakuparalayz kwa maombi! mimi ndio tegemeo lao la kupata uzima wa milele!
 
fo zis twu veri uziful posti indiidi nitawarekomendi kwa kikwete neksti taimu akipiga picha na droguba na nyie muwemo kwenye picha.
greti thinka nipo veri sirias hapa!

Hehehe! Hahaha! Hahaha! Greti thinka indiid! Najaribu kupiga picha greti thinka wetu huyu alivokuwa anampenyezea bange hediticha wa Ujamaa praimari skuli!
 
wafuasi wangu ninaowahubiria neno la mungu wakiona komenti yako hii wanaweza wakakuparalayz kwa maombi! mimi ndio tegemeo lao la kupata uzima wa milele!

hahaaaaa!! si wote wasema rabi rabi...................!!! malizia mwenyewe wangu!!
 
ila huyu dawa ya maralia Klorokwin akili yake na Bob M ,Haile Selasie sijui ziko droo ngoma
 
Back
Top Bottom