Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,434 Sep 4, 2025 #461 Nakumbuka tukiwa darasa la kwanza kulikuwa na yale maswali rahisi,basi mwalimu aliuliza darasa. Mwalimu;Rais wa kwanza wa Tanzania ni Nye!? Akitegemea wanafunzi watamjibu rere,basi Kuna mwanafunzi mwenzetu akamjibu Mwanafunzi: Ku nya Nalog off Z
Nakumbuka tukiwa darasa la kwanza kulikuwa na yale maswali rahisi,basi mwalimu aliuliza darasa. Mwalimu;Rais wa kwanza wa Tanzania ni Nye!? Akitegemea wanafunzi watamjibu rere,basi Kuna mwanafunzi mwenzetu akamjibu Mwanafunzi: Ku nya Nalog off Z