Wakumaliza nae mwaka.

Jamani naombeni mnisamehe kwa kutofuata kanuni na taratibu, na ahidi hakutakuwepo na kuchakachua haki itatendeka.

Eti mimi nina swali!

hivi uinjinia unahusikaje kitandani unataka? Au ndiyo unataka kutafuta ladha tofauti kwani zingine umeshamaliza? Haki ya nani nasikia wivu wa kumtwanga mtu njugu za makalio
 
Eti mimi nina swali!

hivi uinjinia unahusikaje kitandani unataka? Au ndiyo unataka kutafuta ladha tofauti kwani zingine umeshamaliza? Haki ya nani nasikia wivu wa kumtwanga mtu njugu za makalio
Injinia hausiki ki hivyo unavyo dhani bana, ila injinia ni mobile ni rahisi kwenda nae afu ni fundi ujue, kuna watu wengine yeye akiwa kazini au kwa shughuli zake humtoi.
 
Wapendwa wana Jf, kama tunavyoona mwaka ndo huo unamalizikia, mimi Mamushka ninatafuta mtu wa kumaliza nae mwaka. Sifa. Awe mwanaume mrefu, mweusi kiasi, aliejazia kakomaa mwili kidogo ila sio usoni iwe kwa mazoezi au ndo alivyozaliwa haijalishi. Kazi yake sio muhimu sana kwangu japo engineer ntampa kipau mbele, asiwe mlevi ila awe anakunywa kwa raha zake na si kupunguza mawazo, anaejua ku enjoy, kuogelea. Cost yote ya safari ni juu yangu . ITINERARY itakua kama ifuatavyo five dayz on safari, by Charter plane from DIA terminal one to Krigler airstrip Selou game reserve. Kupokelewa na Serena tranport to Mivumo Lodge, tutakaa two nights full board, King size bed, Game drive, Massage from a beatuful masseuse , Sundown with glass of cocktail,Bush dinner na pia
tukishudia Lion in honeymoon. Then tutarudi DIA to Znz hapo tutaunganisha kwenda Nungwi Zanzibar for three nights full board, fishing, diving, swimming bila kusahau ku enjoy chakula kizuri na fresh from our beautiful country, kwakeli tutakua busy sana na ku enjoy .CONDITIONS. Lazima mtu huyo akubali mwaka mpya utukutie kanisani tukisali kokote tutakapo kua. Then tutarudi na kila mtu ataaendelea na mwaka wake mpya na mambo yake mengine kama kawaida. Ambaye yuko interested awasiliane na mimi. Kwa wengine wote I wish you Merry x-mas and Happy new year guyz. Nawapenda wote nawapenda sana wana Jf.

Safari itakuwa lini? ni vizuri ukiandika tahere ili kujua kama kuna uwezekano wa ku-apply kama sitakuwa booked kwenye shughuli nyingine kama huyo ya kwako!!!
 
Back
Top Bottom