Wakulima wetu mjiongeze, KFC wamekubali kununua viazi kutoka kwa wazawa

Msingekuwa mnakufa na njaa

Jeuri ya hela tunayo, mlime nyie tule sisi, hii dili la viazi msingekua wazembe mngepiga hela sana maana middle-class ni wengi Kenya na ardhi hatuna kubwa yenye rotuba nzuri kama kwenu huko.
 
ulishawahi kusikia Tanzania tunalia Lia njaa?
Ninyi ndo wazembe badala ya kulima mahindi mnalima chai na maua
Jeuri ya hela tunayo, mlime nyie tule sisi, hili dili la viazi msingekua wazembe mngepiga hela sana maana middle-class ni wengi Kenya na ardhi hatuna kubwa yenye rotuba nzuri kama kwenu huko.
 
ulishawahi kusikia Tanzania tunalia Lia njaa?
Ninyi ndo wazembe badala ya kulima mahindi mnalima chai na maua

Inaitwa kilimo cha kutumia akili, maua ni dili, unatumia ardhi ndogo kutengeneza hela zaidi ya mtu mwenye ardhi kubwa na hatumii ubongo, kutwa analimia kwa jembe kukuza mahindi.
Ukiwa na hela unakua na jeuri ya kununua mahindi, pizza na burgers.
 
Kazi ya kulima maua NI kazi ya kijungu jiko.
Mkononi,mdomoni ,chooni
Ila ukilima mahindi na mpunga una uhakika wa kula na hela unayo

Unahitaji elimu ya ukulima biashara na mambo ya ukulima wa kisasa, mambo mengi yamepitwa na wakati.
Kuna mtu anatumia ekari moja kupiga hela zaidi ya mtu anayelima ekari ishirini.
Kuna vyuo vimeboresha mitaala ili kufundisha hili somo.
 
Kwani Kenya Kuna njaa au hamna!?

Kwa taifa ndogo kama Kenya na ambalo zaidi ya nusu yake ni kame tupu na lislo na raslimali kama vile madini, hakuwezi kukosekana changamoto hizo, ila tunajaribu sana kwa kidogo tulichonacho tunajituma kwa kwenda mbele, tunatumia akili na kuzalisha, leo uchumi wetu unazidi wa Tanzania karibia mara mbili, hebu waza Tanzania ukubwa wake ni karibia mara mbili ya Kenya, mna kila aina ya raslimali, madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri, vivutio bora vya kitalii kuzidi vyote Afrika, kwanza huko ni muungano wa mataifa mawili, na kwa yote hiyo, mnashindwa na kainchi kadogo kama Kenya.

Hupewi vyote, unyimwe raslimali ila upewe ubongo, au unyimwe ubongo upewe raslimali, lazima uchague moja.
 
Ushasema Kenya NI nchi ndogo.
Sasa utafananishaje uchumi wa nchi kubwa na kanchi kenu kadogo?
Kwa taifa ndogo kama Kenya na ambalo zaidi ya nusu yake ni kame tupu na lislo na raslimali kama vile madini, hakuwezi kukosekana changamoto hizo, ila tunajaribu sana kwa kidogo tulichonacho tunajituma kwa kwenda mbele, tunatumia akili na kuzalisha, leo uchumi wetu unazidi wa Tanzania karibia mara mbili, hebu waza Tanzania ukubwa wake ni karibia mara mbili ya Kenya, mna kila aina ya raslimali, madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri, vivutio bora vya kitalii kuzidi vyote Afrika, kwanza huko ni muungano wa mataifa mawili, na kwa yote hiyo, mnashindwa na kainchi kadogo kama Kenya.

Hupewi vyote, unyimwe raslimali ila upewe ubongo, au unyimwe ubongo upewe raslimali, lazima uchague moja.
 
kweli kabisa. hii inadhihirisha wazi kuwa middle class ya Tanzania ipo chini sana. Mtanzania haezi afford chipsi kuku,, akienda mbali sana, labda chipsi zege.
Unaweza usiwe sahihi pia,mimi nmeshakula KFC mara kadhaa lakini kwa utashi wangu value for money tsh10,000/= mtaani napata kuku nusu na chipsi tamu zaidi kuliko KFC...tunasupport migahawa ya kawaida kulinganana ubora wa huduma yao...kwa dar es salaam game iko tofauti
 
Tanzania tuna option nyingi za vyakula ndio maana KFC Soko sio kubwa, na hata Hao wachache wanaoenda KFC kwa Tanzania wengi ni foreigners.

Hapo Kenya usipokula viazi utakula nini? Basmat mpaka uende Mombasa kumsalimia Shangazi wakati bongo mpaka Buza wanakula na kusaza.
 
kweli kabisa. hii inadhihirisha wazi kuwa middle class ya Tanzania ipo chini sana. Mtanzania haezi afford chipsi kuku,, akienda mbali sana, labda chipsi zege.
Kwani huko Kenya chipsi Kuku ni chakula cha mido class?basi nyie ni masikini Sana Sisi humu Tanzania hata hiyo chipsi kuku sio chakula cha maana na kinapatikana mtaani kirahisi Sana kweli Kenya mnadhiki Sana.
 
Hayo makuku mnayokula mitaani yapo hata kwetu mitaani, tena kote pembezoni mwa barabara, ila Watanzania kwa ubahiri na umaskini unakuta hakuna class, nyote mnabanana humo, nenda kwa daladala unakuta mtu na litai lake na suti usafiri wa kwenda ofisini anabanana na wamama wanaopeleka samaki sokoni harufu za shombo, yote hiyo kisa tu alipe nauli ya Tshs 400
 
Hujitambui unaposema kutumia usafiri wa Uma ni ubahili hata nchi za ulaya usafiri wa uma ndo mpango mzima.pia kumiliki gati binafsi Tanzania ni kitu kirahisi Sana umasikini wenu ndo unakufanya uone kumiliki Gari ni kitu kigumu Sana.kuhusu vyakula Tanzania hatuna shida ya vyakula.kwenda KFC ni Jambo ambalo ni luxury sio lazima sana.kenya mnakufa na njaa mpaka Kesho mnashida Sana
 
Back
Top Bottom