Wakulima wetu mjiongeze, KFC wamekubali kununua viazi kutoka kwa wazawa

Hujitambui unaposema kutumia usafiri wa Uma ni ubahili hata nchi za ulaya usafiri wa uma ndo mpango mzima.pia kumiliki gati binafsi Tanzania ni kitu kirahisi Sana umasikini wenu ndo unakufanya uone kumiliki Gari ni kitu kigumu Sana.kuhusu vyakula Tanzania hatuna shida ya vyakula.kwenda KFC ni Jambo ambalo ni luxury sio lazima sana.kenya mnakufa na njaa mpaka Kesho mnashida Sana

Usafiri wa umma tunatumia hata Kenya, kuna kipindi huwa naacha kutumia gari binafsi naingia kwenye daladala zetu safi, lakini sio huo uchafu wa kwenu hapo ambapo kwanza mnabanana na kunukiana makwapa, mtu unakwenda ofisini ila kwa ubahiri na umaskini unadiriki kubanana na wamama wanaopeleka samaki Kivukoni....

images
 
This is our level know tofauti ya usafiri wa Uma Tanzania na Kenya kubanana Kwa watu ni kitu cha kawaida kutokana na wingi wa watu.
gersonmsigwa~p~CXh9E_XN6-e~1.jpg
View attachment 2071883
 
This is our level know tofauti ya usafiri wa Uma Tanzania na Kenya kubanana Kwa watu ni kitu cha kawaida kutokana na wingi wa watu.View attachment 2071884View attachment 2071883

Hayo madude ukiyaona barabaarani yanapendeza, ila kwa wanaoyatumia wanajua kero zake, kwa nyuzi nyingi zimefunguliwa JF za wakaazi wanavyoteseka kwa hayo mabasi ya mwendo kasi, hata Youtube kote kote, mlilaumu mara operator mara uendeshaji wa mradi mara sijui nani

udartpic-data.jpg

2034682_FB_IMG_15550156624602223.jpeg
 
Population ni kubwa hata ulaya watu Wanabanana magari mengine yanaongezwa hamna BRT kama hii afrika mashariki na Kati changamoto zipo za kawaida.
 
Success project
20220107_123045.jpg
 
Population ni kubwa hata ulaya watu Wanabanana magari mengine yanaongezwa hamna BRT kama hii afrika mashariki na Kati changamoto zipo za kawaida.

Sio kwa mateso hayo, mlikurupuka hamkujipanga, ukiwa maskini usipambanie vitu vikubwa kabla hujakamilisha vya msingi, hebu ona leo hata Dar-Moro SGR miaka sijui mingapi sasa bado mnachimba mahandaki na mnaendela kuchukua mikopo, hilo la mikopo mpaka limemtupa nje spika.
 
Jeuri ya hela tunayo, mlime nyie tule sisi, hii dili la viazi msingekua wazembe mngepiga hela sana maana middle-class ni wengi Kenya na ardhi hatuna kubwa yenye rotuba nzuri kama kwenu huko.
Vipi mnakufa kwa njaa hadi kusubiri chakula cha msaada?
 
Kwani huko Kenya chipsi Kuku ni chakula cha mido class?basi nyie ni masikini Sana Sisi humu Tanzania hata hiyo chipsi kuku sio chakula cha maana na kinapatikana mtaani kirahisi Sana kweli Kenya mnadhiki Sana.
Kiukweli kabisa mie chips nakula nikiwa sina hela yaani niko hovyo kiuchumi maana ndo chakula cha bei ya chini huku.
Sasa huwa nashangaa huwa ninapoona mtu anaona chips kuku ni chakula cha maana.
Tena mikuku yenyewe ya kisasa hayana utamu wowote.
Pathetic!!!
 
Wakati mimi huwa naona chips kama chakula cha kimasikini kule kenya ni chakula cha mido class.
 
hatuongelei chipsi zinazouzwa kando kando ya barabara zilizojaa vumbi na makamamasi,,, mafuta ya kukarangia hawabadilishi hadi yamekua meusi Kama mkaa,,, zii.
tunaongelea kuhusu chipsi zilizotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu, sehemu ambayo unaeza peleka familia yako na kujivinjari kiaina. au siku umeangukia pisi kali basi bila shaka hutotaka kujiangusha kwa kumpeleka sehemu chafu chafu zilizojaa nzi. hata packaging yake yenyewe tu, lazma utafurahia.
 
Kiukweli kabisa mie chips nakula nikiwa sina hela yaani niko hovyo kiuchumi maana ndo chakula cha bei ya chini huku.
Sasa huwa nashangaa huwa ninapoona mtu anaona chips kuku ni chakula cha maana.
Tena mikuku yenyewe ya kisasa hayana utamu wowote.
Pathetic!!!
uko hovyo kichumi Kaka. wewe level yako ni chipsi zege za barabarani zilizojaa vumbi.
mambo ya kujiachia kwenye migahawa ya kishua yana wenyewe
 
KFC wanapika ugali🙄 ?!!!
amini usiamini
 
hatuongelei chipsi zinazouzwa kando kando ya barabara zilizojaa vumbi na makamamasi,,, mafuta ya kukarangia hawabadilishi hadi yamekua meusi Kama mkaa,,, zii.
tunaongelea kuhusu chipsi zilizotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu, sehemu ambayo unaeza peleka familia yako na kujivinjari kiaina. au siku umeangukia pisi kali basi bila shaka hutotaka kujiangusha kwa kumpeleka sehemu chafu chafu zilizojaa nzi. hata packaging yake yenyewe tu, lazma utafurahia.
Kumbe chips za Kenya zinazouzwa kando ya barabara ni chafu! Nilikuwa sijui.

Basi bhana, za Tanzania ni tamu na safi kweli kweli yaani kula kujigaragaza.

Huwa naona za Kenya zinauzwa tu kiholela kwenye mazingira machafu na mlivyo wachafu mnazila tu.
 
Wengi mumezoea zege hapo Bongo, haya mavitu ya middle-class hamyajui.
nyingi sana aisee. over thirty. na bado zinaongezwa. still tumewapeleka puta hadi mwishowe wakaomba poo wakahamia kwenye ugali 😁😁
KFC, McDonald's, Dunkin, Papa John's, Pizza Hut zinaitwa junkies courts na wengi wanaozitumia ni wa kipato cha chini mno sababu hawauzi organic foods, namna mlivyo washamba mnawaona wa maana kisa wazungu 🚮🚮🚮
 
kweli kabisa. hii inadhihirisha wazi kuwa middle class ya Tanzania ipo chini sana. Mtanzania haezi afford chipsi kuku,, akienda mbali sana, labda chipsi zege.
Linapokuja suala la chakula Kenya inapaswa kukaa level 1 na Somalia, mnafanya makosa sana kujilinganisha na Tanzania

Hata Burundi wanawashinda kula vizuri 🚮🚮🚮

Screenshot_20220107-222035.png

KFC, McDonald's, Dunkin, Papa John's, Pizza Hut zinaitwa junkies courts na wengi wanaozitumia ni wa kipato cha chini mno sababu hawauzi organic foods, namna mlivyo washamba mnawaona wa maana kisa wazungu 🚮🚮🚮

Chips mayai mnazoshindiaga huko ndio junkie kabisa na zimesababisha mumeishiwa mpaka mademu wenu wanajitia kwa chupa za mirinda.
 
Bei ya chini kabisa Tanzania ya viazi ni 45k wakati Kenya ni 98k

Bado mnaona chips ni big deal?
Ila Mzungu anajua namna ya kula pesa za wavivu!

Screenshot_20220107-231323.png
images - 2021-12-25T100418.726.jpeg
 
Back
Top Bottom