MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,748
- 48,371
- Thread starter
- #61
Bei ya chini kabisa Tanzania ya viazi ni 45k wakati Kenya ni 98k
Bado mnaona chips ni big deal?
Ila Mzungu anajua namna ya kula pesa za wavivu!
View attachment 2072667View attachment 2072669
Suala sio big deal chips wala nini, ila mazingira unayohudumiwa, maana kwamba class, sisi middle-class tupo wengi, sasa nyie kwa mlivyo wabahiri na maskini mnakusanyika kwenye vibanda vya chips mayai kila siku, mwanaume unatoka ofisini na kwenda kubanana na kwenye hivyo vibanda.
Ndio maana mko nyuma sana hata kwenye ukusanyaji wa kodi......ujamaa uliwalemaza na kuwafanya nyote muwe na akili za kimaskini maskini.