Ndugu unataka kutuambia, hao watu waliochukua pesa za wakulima masiki, sasa wanasaidiwa na mungu kuzidi kuwaumiza wakulima. Kwanini uzielekeze hasira za mungu kwa waliowadhulumu wakulima.Kuchukua pesa ya mfuko wa korosho kuwa ya hazina kwa ubabe naye Mungu kakasirika na watu wengi walitabiri anguko la zao la korosho,nayametokea