Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

Mnada wa korosho uliopigwa leo Newala sh 2700/= na Tandahimba sh 2717/= wakulima Newala wamegoma kuuza korosho zao bei wamesema ndogo
Habari,
Tandahimba mnada umefanyika wapi mkuu? Newala imeuzwa 2715, nipo huko na hiyo nlo-attach ndo ratiba yao... Tandahimba mnada ni tarehe 29 Oktoba
IMG-20181019-WA0029.jpg
 
Habari,
Tandahimba mnada umefanyika wapi mkuu? Newala imeuzwa 2715, nipo huko na hiyo nlo-attach ndo ratiba yao... Tandahimba mnada ni tarehe 29 OktobaView attachment 907154
Si umetype kwenye microsoft word. Yani unapoteza mda wako wote kutype kuformat ilmaradi tu ushindane na mleta mada?
 
Tandahimba na Newala mnada hauwi siku moja, hiyo inayoitwa Tanecu (Tandahimba and Newala cooperative union) ndio chama cha kuuza na huuza tofauti katika maghala yao yaliyopo Tandahimba au Newala kwa wakati tofauti, hakuna kipindi wanauza maghala yote kwa siku moja.

Nb: Nimeleta taarifa sio ubishi, taarifa yake haina source. Mnada bei chini ilikua 1711 na juu iliishia 2717 na wakulima wame opt kusubiri mnada ujao
 
Heshima kwako mkuu. Nisamehe nilutaka kuanzisha ligi tu bila sababu
 
Wakulima wa korosho wanapelekeshwa kama kitenesi!

Ova
 
Back
Top Bottom