Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,013
- 1,634
Yaani inaweza kufika hata 200, yaani masoko yamekua mengi sana hasa nje ya nichiIshafika 110 sasa mpaka mwishoni mwa wiki ijayo inaweza fika 150 aisee.
Sure,wakulima wa valencia wataenda kuandika historia nyingine msimu huu.Yaani inaweza kufika hata 200, yaani masoko yamekua mengi sana hasa nje ya nichi
Ndugu tusaidie sisi wengine wazee wa kutafuta fursa,hiyo mbegu ya Valencia ina tofauti gani na zingine?Je kwa mkoa wa Tanga inakubali sana katika wilaya zipi au maeneo yapi?Vipi upatikanaji wa miche yake kama nataka kulima at large scale?Msimu huu wakulima wa Machungwa aina ya Valencia wamepata fedha nzuri, kwani mpaka Muda huu kule mashambani muheza Tanga bei ya Chungwa moja ni Tsh 100 hiyo ni bei ya shambani tena hapo mkulima analinga kwani wanunuzi ni wengi. Ni kawaida mkulima anaemiliki ekari moja kutoa Machungwa mpaka elf 60 na kumiliki Tsh Milioni 6 na Kuna watu wanamiliki mpaka ekari 100
Ushauri kwa wakulima wa Machungwa mnachokipata kifanyieni mambo ya maendeleo maana haijulikani msimu ujao itakuaje
Mkuu huo ukanda unaostawisha ilo zao hakuna wazigua huko.Wazigua tatizo ushirikina ,hata wauze chungwa moja 500 ataishia kuoa wanawake,hawezi jenga nyumba ya maana
Kabila gani huko mkuuMkuu huo ukanda unaostawisha ilo zao hakuna wazigua huko.
Huko wabara haswa haswa wapangwa kama unawajua ndio wamekamata utajiri wa machungwa.Kabila gani huko mkuu
Wapangwa si watu wa mbeya hukoHuko wabara haswa haswa wapangwa kama unawajua ndio wamekamata utajiri wa machungwa.
Ukanda huo huo haswa haswa IringaWapangwa si watu wa mbeya huko
@Mzigua90 ya kweli haya?Wazigua tatizo ushirikina ,hata wauze chungwa moja 500 ataishia kuoa wanawake,hawezi jenga nyumba ya maana
Ok kumbe.Ukanda huo huo haswa haswa Iringa
Mzigua90 hakosi wake watatu@Mzigua90 ya kweli haya?
Huyu ni ke mkuuMzigua90 hakosi wake watatu
Ahaaa atakuwa mke wa tatuHuyu ni ke mkuu