nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Basi nimepita maeneo ya Buguruni kwenye msiba, Punde Kuna mtoto alikuwa anapita na babu yake karibia na Msiba, akaona watu wanalia, akamuuliza babu yake, Eti na hawa wote hawana vyeti mbona wanalia???
C&P
C&P