Wewe.....nilikua nimemmiss tu
Etiiiii nilikuwa naomba dhawadiiii
utammissije mke wa ntu
Nimemmiss kweli lakini jamani
ngoja mzee wa mafoto aje nahisi umechoka kuperuzi
mwenzangu Excel kanisusia nyumba hata alipo najua basi
Yaani wewe unapotea sana. Kile kitu unapenda nilikua nazo kibao, naomba nikumbushe baadae, ntanunua mpya.
Haya nitakukumbusha badae
Hivi wewe umeishampikia hata mumeo chai kweli?
Pole sana ila usijali atarudi tu
Uniambie unataka ngapi pia, sawa mummy?
Niletee nyingi nataka nile hadi meno yaume
mamii...!
asije akawa yupo kwako halafu unampaa moyo mwenzio tu hapa
Pole sana ila usijali atarudi tu
asije akawa yupo kwako halafu unampaa moyo mwenzio tu hapa