pole ya nini tena dear?
Sijui niseme hapa hapa tu?
sema tu usiogope
Sasa nimerudi dear afadhali nishamaliza hii adhabu
Njoo unipepee mm nilale nna usingz
pole dear adhabu gani tena?
Nilikua offline mda mrefu....vp kwanza habari za hapa?
za hapa mbaya tu
Kwanini mbaya dear?
Meza puriton
si ulipotea dear
kwani anamafua sasa?
Am bck honey.... I miss u sana
Haya kwaherini!