Mwenye mafua anatumia Vic's
Msichana
enheee na nimevipenda hivo viatu vyako wavaa size gani uniazime lol :A S embarassed:kwani unausingizi?
enheee na nimevipenda hivo viatu vyako wavaa size gani uniazime lol :A S embarassed:
Weka picha tuvione
38 shost, vipi vitakutosha?
haya nisaidie kuchagua!
miss neddy unamwita Tyta tena????
hahaha tena ngoja nianzie mwanzoooo
nitamumsha mimi kote ulikomchombeza Eshy naweka cc
Hajaamka saivi
Hivi wewe umeishampikia hata mumeo chai kweli?
Etiiiii nilikuwa naomba dhawadiiii