Ww unaonaje?
Sio kweli
Haya sawa, tuma salamu kwa watu wa3
natuma salamu kwa Valentina pili Ladymasa bila kumsahau amu
Afu kwa nini unamtaja amu?
Hahahahaha Mtoto halali na hela aisee jina lako unique sana hao wamelala mida hii
nimemtumia tu salamu, nothing else
Anhaaaaa hapo sawa, niko nae hapa
Umenisahau na mm!