Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
hahahahaa unafikiri Honey Faith ni mcharuko kama wewe
Hebu mwambie shost
Last edited by a moderator:
hahahahaa unafikiri Honey Faith ni mcharuko kama wewe
hahahahaa unafikiri Honey Faith ni mcharuko kama wewe
jamani mi sio mcharuko now nimebaki njia kuu Tyta my sweetlovec nisamehe kwa yote nakupenda wewe tu, your da one in a million babe, lets jump to da new page! I love you so much honey
hata kama mi hunipendi mi nakupenda tu shost
hahaha wewe huwa unanidokolea vyangu
ndo mana nakupenda honey
I love you to my sweet weekend hii nitakuja kukusalimia kwako
waooo ngoja nikuandalie nswalu i hope unapenda hiyo mboga
Yani naipenda sana my dia
sawa tu mi ntamuachia mungu
hahahaa mkuki kwa nguruwe eeeh