Wakuchat mpo?

Wakuchat mpo?

Ulivoitika umenikumbusha mschana mmoja ivi...eniwei, binti kanimiss tu hapo na bahati waziri wangu wa mambo ya ndani hana tatizo sana

msichana gani huyo utafiti

naona kwakweli ashukuriwe waziri wa mambo yako ya ndani kwa roho yake hiyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom