mmmhhh sijajuaga vitu kama hivi vinawaingia wanaume...
kwa sababu wanaume hawachkuagi notice ya vitu vidogo vidogo kama hivyo...
title si kitu kidogo ad
Sidai tukul....mimi niliwahi kufanyiwa kitendo km hicho nikamwambia wife kuwa kama hiyo kadi inanihusu na mimi basi airudishe kwa aliyeandika ili ikabadilishwe huko, ili hao watu wajue ameolewa na yuko chini ya mume. Toka hapo sijakumbana na tatizo hilo, wife mwenyewe akiona discrepancy kwenye majina anahangaika nayo kabla ya kuifikisha kwangu...ni kuwa ngangari kidogo tu, kwisha.