mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,587
- 3,886
marafiki sio lazima bwana , kuna watu wamejaliwa kuwa watu wa watu yani yy ni mtu wa marafiki, akifika sehemu wiki tu kashazoeana na kila mtu yani wako hivyo automatically sasa mwenzangu mie ukitaka kujilazimisha kuwa kama hivyo wakati sio nature yako utaishia kuwa kituko tu, hivyo vitu vinakuja automatically havilazimishiki. Mfano mimi am not a ppl person kabisa yani hata nikijaribu kuwa na marafiki mwishoni nafeli tatizo sio wao nnabahati ya kupendwa na watu kutaka kuwa karibu na mimi ila mimi ndo siwezi muda mfupi tu najihisi kuwachoka na kutaka kuwa mwenyewe japo sometimes i miss kampani ya marafiki ila aaaah siwezi kujilazimisha bwana Mume wangu ndo rafiki yangu wa pekee. So be you japokuwa kujichanganya n watu nako nikuzuri upweke si mzuri sana but usitumie nguvu