Wakubwa hapa nimefail wapi?

Wakubwa hapa nimefail wapi?

Sina gear yeyote yeye ndiyo anataka kuongea na mimi
Muonyeshe kwamba hauna uhaba wa wanawake. Mademu huwa wanakuwa wepesi kwa wanaume wenye options nyingi za wanawake. Lakini kama hauna demu, mke wala wanawake wengine hawaonyeshi kukutaka basi kumpata demu inakua ngumu sana
 
Najua huwa ananifuatilia Toka siku nimkute pale mzuri ila sikuwahi kumuwaza Toka nimejua ananifuatilia sina uhaba ila kaninyongonyesha kusema sina mwanamke that's why nakunywa sana
 
Shida yako ni kumuoa au kuchakata tu. Kama umefall in love achana na huo mpango kama ni kumchakata tu mtangazie dau. Process ya kupewa ni ndefu sana, kwaiyo nunua.
 
Yaan barmaid anakunyima namba mpaka unaaninzisha uzi? Huyo mwisho wa siku anataka hela zako, hapo dawa unamuomba mwingine mbele yake!
 
Shida yeye sio kuninyima number ni kuwa karibu yangu then kugoma kutoa number
 
As a fully qualified mortuary attendant,
I can confirm that this will be your free pass
into my business.
 
Najua huwa ananifuatilia Toka siku nimkute pale mzuri ila sikuwahi kumuwaza Toka nimejua ananifuatilia sina uhaba ila kaninyongonyesha kusema sina mwanamke that's why nakunywa sana
duh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom