Wakristu 23 wauawa na kundi la Islamic State nchini Misri

Sasa wanarudisha hadhi kwa kuua wasiokuwa vitani? Nyie na huyo Allah asiyeweza kuilinda dini yake mpaka mumsaidie kwa kuua watu ndio mnadhani mtapelekwa peponi kweli? Hebu nipe aya walioitumia kuwaua hao watu waliokuwa kwenye basi.
Hata huko syria wanaouawa hawako vitani
 
Sawa mie sikutumia akili em wewe tumia hizo za kwako uniambie hiko kiswahili cha kimatumbi kilichoandika hapo kuwasifia hao wauwaji especially kumsifia founder wa ISIS kimeandikwa na m'magharibi?ni nyie nyie hadharani mnajifanya kuwakataa kimoyo moyo na mkiwa kwenye vikao vyenu mnawakubali na kuwapongeza,acheni unafiki wakatazeni na wakataeni lah hamkufanya hivyo nyinyi nyote magaidi tu.inajulikana wazi hakuna taifa litakalopigana vita isiyo na maslahi kwalo ndio maana hasa wanajilinda wasishambuliwe nyumbani hawawezi kufanya vita ilhali kwao kuu'salama ndo maana hao waislam wanaenda kuonea zile sehemu dhaifu.
Kiswahili ni lugha kama lugha yoyote,wapo wasio waislamu,wamezaliwa Pwani na wameishi miji ya Pwani na sio waislamu,hajui kikundi hiki na vingine vya kigaidi vimeanzishwa na nchi za magharibi kwa lengo lao maalumu,wanalojuwa wao.
Fikiria katika akili yako,nchi kama Marekani,yenye teknolojia ya hali ya juu kabisa katika nyanja zote,unazozifahamu na usizozifahamu,wanashindwa kweli kukimalizi kikundi hiki au vikundi hivi?Ndani ya miezi mitatu pia mingi,wangekuwa wamesambaratishwa,hivi vikundi ni vya kutengenezwa na vilelewa na kupewa silaha,fedha nk.
 
Hivi vikundi vimeanzishwa na kufadhiliwa,na wenye silaha na teknolojia,na ndio hao wanaowapangia hao,wapi wakauwr na wamuuwe nani.Hawa walipata habari wapi,kama kuna bus limepakia watu wa aina Fulani,na watapita mahali fulani na mda fulani,tukawasubiri tuwauwe.
Au vipi nchi yenye vita na inajulikana kuna kundi linalouwa watu ovyo,hao ambao ndio wanatakiwa wauliwe,uongozi wao usitafute au ulinzi,au waache safari za pamoja,ndani ya Bus.Kweli inaingia akilini,mjipeleke kwa wauwaji bila kuchukuwa tahadhari yoyote.
 
Kiswahili ni lugha kama lugha yoyote,wapo wasio waislamu,wamezaliwa Pwani na wameishi miji ya Pwani na sio waislamu,hajui kikundi hiki na vingine vya kigaidi vimeanzishwa na nchi za magharibi kwa lengo lao maalumu, wanalojuwa wao.
Fikiria katika akili yako,nchi kama Marekani,yenye teknolojia ya hali ya juu kabisa katika nyanja zote, unazozifahamu na usizozifahamu,wanashindwa kweli kukimalizi kikundi hiki au vikundi hivi?Ndani ya miezi mitatu pia mingi,wangekuwa wamesambaratishwa,hivi vikundi ni vya kutengenezwa na vilelewa na kupewa silaha,fedha nk.


Lengo gani?hakuna kingine zaidi utaniambia ni ili kuudhoofisha uislam japo hakuna alieshawahi kueleza wanaudhoofisha vipi huo uislam hali ya kuwa inajulikana wazi Merikan sio taifa la kidini,narudia tena America hawezi kwenda kwenye vita yoyote isiyokuwa na maslahi kwake wakuifuta ISIS ni nyie waislam kwa umoja wenu masheikh popote duniani watoe mawaidha misikitini na kwenye CD's waache kuhubiri Injili wasiyoijua kwa waamini hasa vijana damu changa wafundishe na kuwakanya waache kuwashabikia ISIS maana wanayoyafanya sio uislam unavyofundisha,tofauti na sasa tunasikia wameuwa watu 25 Uingereza na wamekiri ni wao ila mpo kimya,tena Misri wameuwa watu 23 nyie mpo kimya tena wengine wanashabikia mnataka tusemeje sasa?nyie ni wajumbe wa Mungu kupanga maisha ya watu hapa duniani?ISIS ni zao la kitabu chenu wanazuoni watoe mafundisho inavyotakikana kwa Waislam ili kuiondoa hii sumu iliyopandwa.

 
Am proud of my religion allah akubar.......bora wafe hao makafir japo tuingie peponi
Wewe sio Muslim na una tia doa dini ya kislam,,,kama ni muumini mzuri haupaswi hata kumwita na mkristu khafiri.Dini ya kislamu hairuhusu kua au hata kujichanja chali mwili wako, sasa iweje unashabikia kuawa kwa watu wakati dini inakataza hata wewe mwenyewe kujitoa damu kwa kigezo cha dini.
Tukiwaambia hiyo dini ni aya za shetani wanatokwa povu, ona sasa, watu hao wamewakosea nini maskini!!

Am proud of my religion allah akubar.......bora wafe hao makafir japo tuingie peponi

Tukiwaambia hiyo dini ni aya za shetani wanatokwa povu, ona sasa, watu hao wamewakosea nini maskini!!
 
Wenye dini yao watakuja muda usio mrefu na kulaumu Marekani. Walishapata vijisababu vya kuficha uovu ulio ndani yao.
Sawa kabisa ! Mmarekani na washirika wake wanahusika kwa kiwango kikubwa na haya makundi ya kigaidi, hivi isingekuwa marekani kuundoa utawala wa Gadafi, kuuvunja nguvu utawala wa Assad, Saddam husseini, haya makundi yangepata wapi nafasi ya kujiimarisha na sasa kufanya mauaji dunia nzima ? Kinachotokea hapa haya makundi yanajiimarisha ktk mataifa ambayo serikali zao hazipo imara na mmarekani na washirika wake walishiriki kwa kiwango cha juu katika kuharibu hayo mataifa na sasa yamekuwa kitovu cha ugaidi.Na usishangae badae North korea wakawa nao chimbuko la ugaidi baada kupigwa na mmarekani.
 
Moja ya njia ya kuifurahisha miungu ni kupitia sadaka kuua watu kwa sababu ya kidini ni moja wapo ya kutoa sadaka ya damu kwa miungu ili kuifurahisha.
Kuna maagano hufanywa kati ya watoa sadaka na miungu yao.Mungu yule anapenda sana sadaka za damu amehaidi kuwapa thawabu wale wote watakao mtolea sadaka za damu kupitia makafara wanayoyatoa watu wake.
Ni mungu mwenye kiu kali sana ya damu watumishi wake kina subiani ndio humletea hizo damu
Kwa hiyo kumbe kuna Mungu zaid ya mmoja
 
Siwezi kuiongelea sana hiyo mistari kwa sababu mimi sio muislam na tafsiri zake sizielewi. Kwenye Biblia tunapoambiwa vita na kuua inamaanisha tupigane vita vya mwili?
Hapana si vya kimwili, na wafuasi wa kweli walihubiri hivyo na kuuishi ukweli huo, amani na upendo. Vipi kwa upande wa pili nako?
 
Hiki ni kikundi kimeanzishwa na nchi za magharibi,tumia akili,hivi dunia ya LEO,ya nchi za magharibi zenye teknolojia ya kisasa wanashindwa kukimaliza kikundi kidogo hiki,kisicho na nchi wala hawatengenezi silaha.Hiki kikundi kinajiita na cha kiislamu,sio waislamu hawa.Kama wangekuwa ni waislamu,wangekuwa wameshaangamiza siku nyingi na kupotea kwenye uso wa dunia.
Ila hoja na misimamo wanayoitumia ni ya kiislamu kwa waislamu toka kwenye maandiko ya kiislamu ndo maana wanapata uungwaji mkono na wote wenye kuyasadiki hayo maandiko.
 
Hivi ni vikundi vya kikristo,vinauana wenyewe kwa wenyewe.Wanajita tu Islamic state,Hawa wangekuwa ni waislamu kweli,American na teknolojia na vifaa vya kisasa vya vita,angekuwa ameshawasambaratisha hawa, siku nyingi sana.Na tumeshawasahau.

Salamaleko cholo
Hao ni waisilamu cholo.. Ukristo una TBS na kigezo chetu kikuu ili uitwe Mkristo ni Kuyafuata na Kuyaishi Mafundisho ya Kristo Masihi, ambaye Amefundisha Tuwapende hata adui zetu ili tufanane na Baba yetu wa Mbinguni...abdul qathem ndie aliye fundisha hii
e32514e743ac360ea396125ac5757cc6.jpg
kwa nadharia na kuuishi ugaidi..
 
Mwezi unaoanza kesho basi kwao hao wauwaji utakuwa shwaari....thwawabu mara mbili,kufunga na kuangamiza asiye muumini inadaiwa ni moja ya ticket ya kuiona pepo.Mungu awapokee hao marehemu!

Hilo nalo neno...nimetafakari nikagundua kwamba vibaka, wauaji, wala nguruwe, walevi, wagoni...na mambo kama hayo wanao husika ni hawa hawa ndugu zetu ktk Adam wenye, mabaa, wauza kiti moto, madangulo...woote mwaka Jana wamelia kwamba biashara zao zimeharibika...unaweza kuvuka jangwani bila kukabwa ni Shwari kumetulia..kumbe wanao tukaba tumewang'amua napendekeza hawa ndugu zetu ktk Adam wagome kula mchana hata kwa mwaka mzima ili huu utulivyu uliopo tuendelee kuufaidi...
 
Back
Top Bottom