Wakristu 23 wauawa na kundi la Islamic State nchini Misri

muulize hii imefanana na mini??akikujibu muulize Allah anafanya nini na kitu mfano wa kipapa??
Hapa Mtumishi hata seydna Umary aligoma kula denda hilo jiwe lilalo fanana na Ku*** mpaka pale muham mad alipo mkazia macho kitemi ndipo naye akalibusu...yallah..
 
Ila hoja na misimamo wanayoitumia ni ya kiislamu kwa waislamu toka kwenye maandiko ya kiislamu ndo maana wanapata uungwaji mkono na wote wenye kuyasadiki hayo maandiko.
Mhalifu yoyote hutumia mbinu yoyote,kutekeleza uhalifu wake,wapo wahalifu wanaovaa suti na kutembelea gari ya bei mbaya,wakati wa kufanya uhalifu.Wacha hawa wanaotumia maandiko vibaya,ili watekeleze uhalifu wao.
Mhalifu siku zote anajificha kwenye mgongo wa aina Fulani,ili asitambulikane ki urahisi,hawa sio waislamu,ndio maana wanajificha kwenye kivuli cha uislamu.Fikiria akilini mwako,ikiwa hawa ni kikundi kidogo sana,kwa nini wasidhibitiwe mara moja na nchi zenye nguvu.
 
Hapa umepatia cholo yaani abdul qathem ni muhalifu aliye jidhihirisha kama malaika wa nuru aliye mix kweli na uongo kuwapoteza wanadamu duniani..takbir cholo... walahi hatukubali...
 
Leo mashambulizi ya ndege za marekani na washiriki wake,dhidi ya kundi LA ISIS,huko Syria yameua watu 102,watoto wakiwa 42,
Mambo kama haya,ndio yanawapa hasira Waislam duniani kote,wanaona Marekani na washirika wake(Judeo Christianity ) wanataka kuuangamiza Uislam,kwaiyo makundi kama ISIS,yanatafuta soft target na kulipiza kisasi,
Kila mislam anaamini kwamba,uislam na uarabu,umeshushwa hadhi na umedharaulika sana,wanataka kurudisha hadhi waliyokuwa nayo karne zilizopita,adui yao mkubwa ni Ukristo,(marekani,western culture,)

Mkuu;
Weye wajua linaloletelezea hao raia kuuliwa?? Hata siku moja, Marekani haangushi bomu pasipo na adui kamili. Take it from me. Ile, hao magaidi huwatumia hao raia tena chini ya mtutu kama ngao. Ndo maana inakuwa shida kuwa uproot kutoka humo ndani ya watu na kuwaulia mbali. Vita haina macho. Tofautisha mauaji ya hayo magaid huko Misri na udondoshwaji wa mabomu huko Syria.
Hoja yako kuwa uislam na uarabu umeshushwa hadhi je kuua watu huko Misri, Kenya, UK na kwingineko ndiko kutaupaisha uislamu na uarabu. Shame man.
 
Hivi nyie waisiliamu kupata kuona pepo lenu la alah had muuwe watu wasio na hatia
 
7c74a1f2cb558f56032a661b80a6e05d.jpg
apo wanafanyaje?
Uyu babu ndio kaweka 7 au macho yangu?
 
Back
Top Bottom