Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,619
- 5,653
Tupia kapicha kidogo uwenda uko wrong!
Na wanakwaya kuvaa nguo za kubana je? Vipi na kinadada wanaovaa sketi inayoishia kwenye magoti halafu nyuma inampasuo? Unawaungumziaje na kinadada wanaovaa zile suruali zao za kubana kisha wanaenda kanisani? Kesho jumapili nitawapiga picha na kuzipost hapa kama ushahidi wa hayo maswali niliyokuuliza, pia naomba unijibukati ya nzuzi ulizowahi kuleta, huu umepwaya sana, nafikiri ingekuwa wewe mkristo kweli ungekoti hata vifungu vinavyokata au kuruhusu kucheza, hapa umechemka, rc asili ya uimbaji waujua watokea wapi, wasabato nao wanastaili yao, hata waislam pia wanachezesha vichwa nao wana asili yao urabuni, je sababu sebene ni staili ya aftica ndo haifai?
Hakuna haja ya kufuta kwani hapa wengi wajifunza neno la Mungu bila kuchujwa. Atukuzwe Mungu baba katika jina la Yesu Kristo.ningekuwa na uwezo ningefuta kabisa post yako
Hakuna sehemu ambayo haina nidhamu yake....Hata wewe unanidhamu ya maisha yako....Kukata mauno na kukatikiana huko makanisani kwenu ni uhuni wa wazi na ni kikosa nidhamu....Ndugu yangu, unaweza kumpangia mtu namna ya kumwabudu na kumtukuza Mungu?
Kwanza umeanza kwa majivuno na kujihesabia haki kama yule farisayo aliyekuwa akiomba kwa majivuno akimdharau yule masikini aliyejinyenyekeza akitubu dhambi zake.
Mawasiliano ya mtu na Mungu hayana mpaka ili mradi hakutenda lililo baya. Hana mke wa Elikana alimwomba Mungu kwa uchungu Eli, kuhani, akamdhania kuwa kalewa.
1Samwel 1:1-18
Wanafunzi wa Yesu walipojazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste walidhaniwa kuwa wamelewa
Matendo 2:14-33
Mungu hakumpangia mwanadamu aina ya muziki au vyombo vya muziki vya kumwabudia.
Daudi alimtukuza Mungu bila kujiwekea mipaka. Mkewe aliyembeza alilaaniwa akakosa uzazi.
2 Sam 6:12-23
Zaburi 68:25; 81:2; 149:3; 150:4
Kutoka 15:20
Isaya 38:20
Suala la kuomba, kusifu na kuabudu ni la kiroho zaidi. Mungu ni Roho naye huabudiwa katika roho na kweli. Katika kumsifu na kumwabudu Mungu iwe ni kwa sindimba, mdumange, rumba, ndombolo, salsa, tango au nyingine, enenda ktk roho na kweli kwa jina la Yesu.
Wanamsifu kwa style gani..?Maserafi na makerubi na wazee 24 wanamsifu Mungu mda wote kwa kuimba na kucheza
Yesu alipowaambia mafarisayo "wakinyamaza hawa mawe yatapiga kelele"
Luka 19:29-40
yalikuwa mazingira ya aina gani?
Unajua mimi mtu akiniita mlokole naweza mnasa vitasa vya hatari .Naona wana wa binadamu kutoka italia mmefungua huu uzi kuleta mapokeo/liturujia yenu kuzuia Yesu asisisfiwe.
Mungu tumwaminiye anachezewa sana tu,Mfalme Daudi alicheza mpaka nguo zikaanguka,Wengine waliimba na kucheza(Waisraeli) mpaka Ukuta wa Yeriko Ukaanguka.
Maria mama wa Yesu hatumuimbii wala kumuomba maana hata yeye anasubiri siku ya mwisho.
Note:Okoka ujue mambo ya Uungu
Hadi kufikia kutukana umepoteza uelekeo. Nakuombea Roho wa Mungu akuguse kwa jina la Yesu. Nimejenga hoja zangu. Kama hukuzipenda ni tatizo lako. Lakini ufahamu hekima za wenye hekima wa dunia ni upumbavu kwa Mungu. Yesu Kristo ambaye Mungu alimtukuza kuliko wote walioishi katika mwili na ambaye ni mhukumu wa wanadamu wote alidharauliwa na kuitwa ana mapepo. Ni kazi ya mpinga Kristo. Mambo yote yatapita lakini Neno la Mungu litasimama milele.We kenge unajua hiyo kauli ilikuwa inalenga kitu gani hasa. .???
Sauli hakunasa vibao tu, bali aliua kabisa. Lakini akaokoka. Tena akahubiri injili ya moto, sio ya staha au nidhamu kama unavyotaka wewe. Na iwe hivyo kwako katika jina la Yesu, aminaUnajua mimi mtu akiniita mlokole maweza mnafa vitasa vya hatari .
Ukiniita Mlokole ni kwamba, mimi ni kila.za
Mimi sijui kufikiri, mimi zuzu, mimi ni mbumbumbu......
Aisee ulokole ni mzigo na laana ya dunia...
Mkuu wa kulaumiwa ni shetani. Waumini hawana kosa!Shalom Nyote!
Leo Jumapili Hii Nipo KIROHO Zaidi Ila Sitaki Ipite Hivi Hivi Bila Kutoa DUKU DUKU Langu Nililonalo Kwa Kipindi Sasa.
Hivi Sisi WAKRISTO Ni Kwamba Siku Hizi Tumepiga MAENDELEO Ya KIROHO YALIYOTUKUKA au Ndiyo TUNAMKASIRISHA Mwenyezi Mungu Tu?
Siku Hizi Ukienda Kanisani Na Labda Tu Ukiondoa Kwa Sisi WAKATOLIKI TULIOTUKUKA Basi Humo Katika Kanisa Hizo Nyimbo Za DINI Ambazo Zitapigwa Hazitakuwa Na Tofauti Sana Na Masebene Ya Ndombolo, Zitutana, Kwasakwasa, Kibindankoi Na Ekotitee.
Jamani Hivi:
Yangu Ni Haya Tu WATUMISHI Wenzangu Wa KIKRISTO Na Naomba ROHO MTAKATIFU AWAONGOZE KATIKA KUNIJIBU MTAKATIFU MWENZENU NILIYETUKUKA. Bwana Yesu ASIFIWE!
- Kukatika KIUNO Madhabahuni Ni Halali Kwa Mungu?
- Waumini Wanacheza Sebene Hadi Wanaelekezeana Makalio Yao Ni Halali Kwa Mungu?
- Waumini Kucheza Pale Madhabahuni Hadi Wengine WANAJAMBA Na Harufu Sometimes Sisi Tuliokaa Tunaisikia Huku Wakitokwa Na MIJASHO Ni Kupena UPAKO Huko au Kutafutiana Tu NUKSI?
- Muimbaji au Kwaya Husika Kuvalia Nguo ZILIZOBANA KUNAKOTUKUKA Hadi Unaona Kila Kitu Kilichoumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Ni HALALI Kiroho?
Karibuni Na Hata Ndugu Zangu WAISLAMU Nanyi Pia Mnakaribishwa Kuchangia Na Kutoa Pia Maoni Yenu Kwani Naamini Wote TUNAMWOMBA MUNGU Mmoja Ni Hizi Zingine Ni Mbwembwe Zetu Tu SISI Wanadamu.
The bible is very clear only that pple(singers)do exaggeration !Aisee, hata mimi nilikwazika and I still am na hii trend, so I'm curious to hear others take on this.
Anyway, when I asked I was referred to;.
Arguably I could have questioned the "bible" dancing vs. what we now do, old testament vs. new but...............................
- Psalm 149: 3 Let them praise his name with dancing, making melody to him with tambourine and lyre!
- Psalm 150:4 Praise him with the tambourine and dance: praise him with strings and pipes
Hakuna dini hiyo,Uislamu umeruhusu kutoa sadaka ya kuchinja mnyama na si binanamu .Heri hawa kuliko wanaomuulia Mungu.
Kitu kinachokusumbua ni maana ya kafir,haujui!mkuu ni kweli tumeumbwa na Mungu mmoja lakini huwa napata mashaka makubwa kwa ndg zetu waislamu,,,chuki yao kubwa sana kwa wakristo, wanatuita makafri, na mtu akiwa mkristo wanamtenga kabsaa, kuna binamu yangu kaolewa na mkristo wazazi wamekataa hata mahari wanamwambia kaolewa na kafri.
ikiwa tunaabudu mungu mmoja hii chuki kubwa hadi kuwaita wengine kafri yatoka wapi?
ukinijibu ntasema neno
Uko sahihi kwa upande wako lakini si sawa!dini sio dini tyu,Anglia kipi kinafundishwa ktk dini na uhalisia wake ktk maisha.Siyo kweli,hayo ni maneno ya muwamba ngoma,tunaelekea kumoja kupitia njia tofauti.tupo Singida we pita Arusha to Korogwe mpaka Chalinze na mimi napita Manyoni Dodoma tutakutana hapo Chalinze,swala la imani kila mmoja yupo sawa ila anatenda matendo gani hapa Duniani.hayo tu ndo yakukupeleka motoni au peponi
Nikianza kukuuliza maswali hapa tutrngeneza thread nyingine...Sauli hakunasa vibao tu, bali aliua kabisa. Lakini akaokoka. Tena akahubiri injili ya moto, sio ya staha au nidhamu kama unavyotaka wewe. Na iwe hivyo kwako katika jina la Yesu, amina