Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

Shalom Nyote!

Leo Jumapili Hii Nipo KIROHO Zaidi Ila Sitaki Ipite Hivi Hivi Bila Kutoa DUKU DUKU Langu Nililonalo Kwa Kipindi Sasa.

Hivi Sisi WAKRISTO Ni Kwamba Siku Hizi Tumepiga MAENDELEO Ya KIROHO YALIYOTUKUKA au Ndiyo TUNAMKASIRISHA Mwenyezi Mungu Tu?

Siku Hizi Ukienda Kanisani Na Labda Tu Ukiondoa Kwa Sisi WAKATOLIKI TULIOTUKUKA Basi Humo Katika Kanisa Hizo Nyimbo Za DINI Ambazo Zitapigwa Hazitakuwa Na Tofauti Sana Na Masebene Ya Ndombolo, Zitutana, Kwasakwasa, Kibindankoi Na Ekotitee.

Jamani Hivi:

  • Kukatika KIUNO Madhabahuni Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Wanacheza Sebene Hadi Wanaelekezeana Makalio Yao Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Kucheza Pale Madhabahuni Hadi Wengine WANAJAMBA Na Harufu Sometimes Sisi Tuliokaa Tunaisikia Huku Wakitokwa Na MIJASHO Ni Kupena UPAKO Huko au Kutafutiana Tu NUKSI?
  • Muimbaji au Kwaya Husika Kuvalia Nguo ZILIZOBANA KUNAKOTUKUKA Hadi Unaona Kila Kitu Kilichoumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Ni HALALI Kiroho?
Yangu Ni Haya Tu WATUMISHI Wenzangu Wa KIKRISTO Na Naomba ROHO MTAKATIFU AWAONGOZE KATIKA KUNIJIBU MTAKATIFU MWENZENU NILIYETUKUKA. Bwana Yesu ASIFIWE!

Karibuni Na Hata Ndugu Zangu WAISLAMU Nanyi Pia Mnakaribishwa Kuchangia Na Kutoa Pia Maoni Yenu Kwani Naamini Wote TUNAMWOMBA MUNGU Mmoja Ni Hizi Zingine Ni Mbwembwe Zetu Tu SISI Wanadamu.
Ndugu, ukamsome vizuri Daudi hasa katika zaburi zake zote 150, alimsifu Mungu namna gani! Kuna maeneo alicheza hadi akabi uchi mkewe akahoji akajibiwa Mungu ni zaidi hayo anayoona yeye..!
 
Baadhi ya walokole Kwa mihemko hawajambo, ndo maana huwa hawachelewi kutolewa upepo/ kupigwa! Halafu Kwenye baadhi ya makanisa kumejengeka nidhamu ya woga hujawahi ona! Ni wenye ufahamu wa kutosha Ndiyo wataweza kuelewa! Wanafunzi wa Yesu walikuwa wakimhoji Bwana Yesu mathalani Petro alikuwa akiuliza sana kutaka kujua msimamo wa ligi, lakini leo hii Kwenye ibada Kwa nini hakutowi nafasi ya kuuliza maswali Kama kanisa la kwanza la mitume?
 
Umenifurahisha unaposema 'wakatoliki tuliotukuka' nakushangaa sana kjana mwenzangu!!!!!!! Uchunguze ukatoliki vzur utagundua kuwa ndani yake kuwa kuna mambo mabaya sana kuanzia kwenye Liturgies zao na mambo mengine.Nimesoma kwenye chuo kikuu cha kikatoliki miaka mitatu mfululizo nawafaham kuliko vile wanavyojifaham wenyewe kwa kfupi hawamajamaa ni branch za Illuminate. Pia ulichoandka kuhusiana na wa2 kucheza ndombolo makanisani ni kweli jambo hilo hata mm huwa linanikera sana kwa sabab nimeshaabudu Anglican, AICT na KKKT kuna mambo ya hovyo sana huko wanakata miuno,kulewa na kut*mb*na wenyewe kwa wenyewe
 
Shalom Nyote!

Leo Jumapili Hii Nipo KIROHO Zaidi Ila Sitaki Ipite Hivi Hivi Bila Kutoa DUKU DUKU Langu Nililonalo Kwa Kipindi Sasa.

Hivi Sisi WAKRISTO Ni Kwamba Siku Hizi Tumepiga MAENDELEO Ya KIROHO YALIYOTUKUKA au Ndiyo TUNAMKASIRISHA Mwenyezi Mungu Tu?

Siku Hizi Ukienda Kanisani Na Labda Tu Ukiondoa Kwa Sisi WAKATOLIKI TULIOTUKUKA Basi Humo Katika Kanisa Hizo Nyimbo Za DINI Ambazo Zitapigwa Hazitakuwa Na Tofauti Sana Na Masebene Ya Ndombolo, Zitutana, Kwasakwasa, Kibindankoi Na Ekotitee.

Jamani Hivi:

  • Kukatika KIUNO Madhabahuni Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Wanacheza Sebene Hadi Wanaelekezeana Makalio Yao Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Kucheza Pale Madhabahuni Hadi Wengine WANAJAMBA Na Harufu Sometimes Sisi Tuliokaa Tunaisikia Huku Wakitokwa Na MIJASHO Ni Kupena UPAKO Huko au Kutafutiana Tu NUKSI?
  • Muimbaji au Kwaya Husika Kuvalia Nguo ZILIZOBANA KUNAKOTUKUKA Hadi Unaona Kila Kitu Kilichoumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Ni HALALI Kiroho?
Yangu Ni Haya Tu WATUMISHI Wenzangu Wa KIKRISTO Na Naomba ROHO MTAKATIFU AWAONGOZE KATIKA KUNIJIBU MTAKATIFU MWENZENU NILIYETUKUKA. Bwana Yesu ASIFIWE!

Karibuni Na Hata Ndugu Zangu WAISLAMU Nanyi Pia Mnakaribishwa Kuchangia Na Kutoa Pia Maoni Yenu Kwani Naamini Wote TUNAMWOMBA MUNGU Mmoja Ni Hizi Zingine Ni Mbwembwe Zetu Tu SISI Wanadamu.
Mkatoliki Uliyetukuka unajua majina ya nyimbo za baa,
 
Alafu unaonyesha hujui kitu chochote kuhusiana na mambo ya Imani maana so kila kinachoitwa mungu basi ni Mungu aliye hai, alafu usigeneralize eti mungu wao ndio Mungu wangu.
 
Ndugu, ukamsome vizuri Daudi hasa katika zaburi zake zote 150, alimsifu Mungu namna gani! Kuna maeneo alicheza hadi akabi uchi mkewe akahoji akajibiwa Mungu ni zaidi hayo anayoona yeye..!

Mmmmmmmh...Mkuu hili Tango Pori lako naona halijaiva vizuri. Nitafutie yaliyoiva tafadhali.
 
Kwaito,regge,makirikiri n.k havitakiwi kanisani na kwa mtu aliyeokoka.Nadhanikama umeukataa wokovu wa Yesu hayo kwako ni mahala pake.
Asili ya kwaito ni South Africa.Watengenezaji wa muziki huu walichukua radha za muziki wa hip hop pamoja na south africa disco music ndipo kukazaliwa kwaito.Kwaito haikutokea kanisani ila ilitokea nje ya kanisa.Hata hivyo unaweza kukataa hiki kwasababu unapenda kwaito basi tuache magugu na ngano vikue pamoja mvunaji atatumwa.
Warumi 12:2
Msiifuatishe namna ya dunia hii.

Ingia google tafuta wachezaji wazuri wa kwaito duniani huwezi kumpata mtu aliyeokoka akiwa kwenye orodha hiyo ila tu utamsikia beyonce na hawa wa bongo flava.
 
Mkuu there is so much nonsense katika Makanisa yanayosema yanakiri wokovu kiasi kwamba,mimi nimeamua kutoka huko.Baada ya kuisoma Biblia kwa kudhamiria na kwa umakini, nimegundua so much deception,sio swala la sifa tu.Sasa hivi nimeamua kusali nyumbani kwangu na familia yangu,Mimi ndiye Mchungaji,Bwana Yesu atatukuta huku akirudi,siwezi kujinajisi.Mungu amesema wawapo wawili watatu,Yeye yupo katikati yao.

Nimegundua kwamba hata siku ya ibada ni Jumamosi(Sabbath),Wakatholiki ndio waliobadilisha,na wanatamba kuhusu swala hilo bila aibu.Maswala ya Christmas,Easter,Unyakuo,mafundisho mengine ya Roho Mtakatifu,Fungu la Kumi,Mode of Giving the Lord nk.nk.,ni utapeli na uchumia tumbo mtupu!Kama wewe ni mtu wa kiroho kweli,Roho Mtakatifu atakuonyesha wazi kwamba Mungu hayupo kwenye Makanisa hayo,ni fujo tu inayoendelea huko.

Kama una swali lolote niulize nitakuwa tayari kukujibu mkuu.Frankly mambo ni magumu sana,tunahiji macho ya kiroho kuona.Nashukuru umeona swala la ndombolo nk.,huo ni upagani.
 
Wengi hukumbukia walivyokuwa Misri utumwani kabla ya kuipata neema ya wokovu.

Inamaana hawajajikana mazima.
 
Kwaito,regge,makirikiri n.k havitakiwi kanisani na kwa mtu aliyeokoka.Nadhanikama umeukataa wokovu wa Yesu hayo kwako ni mahala pake.
Asili ya kwaito ni South Africa.Watengenezaji wa muziki huu walichukua radha za muziki wa hip hop pamoja na south africa disco music ndipo kukazaliwa kwaito.Kwaito haikutokea kanisani ila ilitokea nje ya kanisa.Hata hivyo unaweza kukataa hiki kwasababu unapenda kwaito basi tuache magugu na ngano vikue pamoja mvunaji atatumwa.
Warumi 12:2
Msiifuatishe namna ya dunia hii.

Ingia google tafuta wachezaji wazuri wa kwaito duniani huwezi kumpata mtu aliyeokoka akiwa kwenye orodha hiyo ila tu utamsikia beyonce na hawa wa bongo flava.
Shetani alikuwa malaika akiongoza praise and worship Mbinguni.
Alipo fanya uasi akaondoka na baadhi ya muziki ndio hii mnayocheza maisha club na billcnas, sasa kwa taarifa yako , miziki yote ni ya Mungu na ukiona unachezwa na ma free mason kama akina Daimond wameiba kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom