Tafakari nami kuhusu uumbaji wa mungu na jinsi wanadamu tunavyoishi

ginyisi

Senior Member
Apr 6, 2023
147
261
nawasalimu nyote

Niende Moja kwa moja kwenye mada! Mimi napenda kutafakari juu ya mungu na maajabu yake hasa kwenye suala la uumbaji kwa ujumla, mwisho huwa naishia kumtukuza sana mwenyezi mungu.

Leo nimeona ni vyema nikawashirikisha nanyi ndugu zangu mambo matatu tutafakari pamoja kwa sauti kuhusu uumbaji wetu.
1:-UUME KUKATWA....hivi ni kweli mungu alikosea kuumba uume jinsi ulivyo mpaka ukawepo utaratibu uliozoeleka hivi sasa wa kukata magovi yetu!?
2:-NYWELE. Nywele Zina faida gani kwetu sisi binadamu ikiwa zikirefuka tunazikata!? Ina maana mwenyezi mungu alikosea!? hasa nywele za kwapani na za sehemu za siri,.
3:-KUCHA. kwanini zinakua kila siku na tunazikata huu utaratibu ulianzia wapi!? au mungu alikosea?
ni hayo tu naomba kuwasilisha...
 
Back
Top Bottom