GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,878
“Amen….Kwa Wakristo wenzangu huu Mwezi wa Tisa ni Mwezi wa Kuzaa na Kupanga Kuzaa hivyo naomba kila Mmoja wenu akazane Kuzaa au Kutengeneza Mimba kwani hata katika Maandiko matakatifu huu ni Mwezi Maalum wa Kuzaa. Mlioko Sokoni sasa, katika DalaDala, Viwanjani, Baharini Beach na Mitaani Kazaneni mzaae huu Mwezi ili tuweze Kumpenda Baba Mungu na tupate Baraka na Kizazi kizuri…sema Ameeeeeeeeeennnn….Amemeeeeeeen….ndiyo mzaane kabisa huu Mwezi Shangilieni kwa Jina la Baba Mungu…”
Chanzo Taarifa: Praise Power Radio na mpaka sasa huyo Mchungaji bado anaendelea Kuhibiri hapo Kanisani Kwake.
Chanzo Taarifa: Praise Power Radio na mpaka sasa huyo Mchungaji bado anaendelea Kuhibiri hapo Kanisani Kwake.