Wakristo wa Mkoani Dar es Salaam Je, mmemsikia huyu Mmoja wa Wachungaji wa Rwakatare na huu Ujumbe wake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Amen….Kwa Wakristo wenzangu huu Mwezi wa Tisa ni Mwezi wa Kuzaa na Kupanga Kuzaa hivyo naomba kila Mmoja wenu akazane Kuzaa au Kutengeneza Mimba kwani hata katika Maandiko matakatifu huu ni Mwezi Maalum wa Kuzaa. Mlioko Sokoni sasa, katika DalaDala, Viwanjani, Baharini Beach na Mitaani Kazaneni mzaae huu Mwezi ili tuweze Kumpenda Baba Mungu na tupate Baraka na Kizazi kizuri…sema Ameeeeeeeeeennnn….Amemeeeeeeen….ndiyo mzaane kabisa huu Mwezi Shangilieni kwa Jina la Baba Mungu…

Chanzo Taarifa: Praise Power Radio na mpaka sasa huyo Mchungaji bado anaendelea Kuhibiri hapo Kanisani Kwake.
 
Uwendawazimu tupu.
Kwahiyo siku hizi kuna watu wanaendeshwa katika mambo yao kama mazombi.
Yaani unaambiwa sasa zaa, sasa lala!
 
Asante kwa taarifa ka mkubwa.

Ngoja na mimi nikamtengenezee mimba.
 
Amen….Kwa Wakristo wenzangu huu Mwezi wa Tisa ni Mwezi wa Kuzaa na Kupanga Kuzaa hivyo naomba kila Mmoja wenu akazane Kuzaa au Kutengeneza Mimba kwani hata katika Maandiko matakatifu huu ni Mwezi Maalum wa Kuzaa. Mlioko Sokoni sasa, katika DalaDala, Viwanjani, Baharini Beach na Mitaani Kazaneni mzaae huu Mwezi ili tuweze Kumpenda Baba Mungu na tupate Baraka na Kizazi kizuri…sema Ameeeeeeeeeennnn….Amemeeeeeeen….ndiyo mzaane kabisa huu Mwezi Shangilieni kwa Jina la Baba Mungu…

Chanzo Taarifa: Praise Power Radio na mpaka sasa huyo Mchungaji bado anaendelea Kuhibiri hapo Kanisani Kwake.
Mkuu ulimuuliza ayo maandiko ya kuzaana mwezi wa 9, au umeamua uje ummwagie malalamiko humu
 
Amen….Kwa Wakristo wenzangu huu Mwezi wa Tisa ni Mwezi wa Kuzaa na Kupanga Kuzaa hivyo naomba kila Mmoja wenu akazane Kuzaa au Kutengeneza Mimba kwani hata katika Maandiko matakatifu huu ni Mwezi Maalum wa Kuzaa. Mlioko Sokoni sasa, katika DalaDala, Viwanjani, Baharini Beach na Mitaani Kazaneni mzaae huu Mwezi ili tuweze Kumpenda Baba Mungu na tupate Baraka na Kizazi kizuri…sema Ameeeeeeeeeennnn….Amemeeeeeeen….ndiyo mzaane kabisa huu Mwezi Shangilieni kwa Jina la Baba Mungu…

Chanzo Taarifa: Praise Power Radio na mpaka sasa huyo Mchungaji bado anaendelea Kuhibiri hapo Kanisani Kwake.
Kuzaa si vibaya. Ila kwa ulivyo leta hii mada, inaonekana hukujua huyo mchungaji alikuwa anamaanisha nini.
Soma mistari hiyo hapo chini utapata maana ya huyo mchungaji kusema mkazae.

Mlango 15:1-16
1 Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.
2 Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa.
3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
4 Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu.
5 Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lo lote.
6 Mtu asipokaa ndani yangu, hutupwa nje kama tawi na kunyauka; watu huyakusanya na kuyatupa motoni yakateketea.
7 Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa.
8 Hivyo hutukuzwa Baba yangu, kwa vile mzaavyo sana; nanyi mtakuwa wanafunzi wangu.
9 Kama vile Baba alivyonipenda mimi, nami nilivyowapenda ninyi, kaeni katika pendo langu.
10 Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama vile mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.
11 Hayo nimewaambia, ili furaha yangu iwe ndani yenu, na furaha yenu itimizwe.
12 Amri yangu ndiyo hii, Mpendane, kama nilivyowapenda ninyi.
13 Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
14 Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo.
15 Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; lakini ninyi nimewaita rafiki; kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
16 Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni.
 
Mama mchungaji na wachungaji waandamizi ni wachunga mbuzi kwani wao ni mafisi
Dini za kitapeli
 
Kazaneni!???!! bila hivyo hakuna mimba. Mbunge wa CCM anayekubalika kufanya siasa na wanaccm huku wakikataza wengine akina Msigwa wasio na makanisa!?
 
Back
Top Bottom