Wakristo wa Iran washerehekea Pasaka mafichoni

Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria Pasaka.

Yeye na mume wake walibadili dini na kuwa Wakristo miaka mingi iliyopita, jambo ambalo katika nchi yao ya Iran, limekatazwa na sheria. Wanaweza kukamatwa wakati wowote.

Katiba ya Iran inatambua dini ndogo ndogo. Wakristo wa Armenia na Ashuru wanaweza kufuata dini zao, lakini wamepigwa marufuku kuwahubiria Wairani wengine au hata kuwaruhusu kuingia makanisani mwao.

Dini ya kiislamu kila siku nasema ni dini ya kishenzi na isiyojiamini na wanajua dini yao ni ya uongo na wakiruhusu watu wahubiri kuhusu Yesu kristo ambayo ndio njia ya kweli basi watu wengi watahama kwenye uislamu dini ya kulazimisha
 
Tukiwambia ukristo siò dini mnabisha mwenye dini haogopi kitu isipokuwa Mungu.
 
Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria Pasaka.

Yeye na mume wake walibadili dini na kuwa Wakristo miaka mingi iliyopita, jambo ambalo katika nchi yao ya Iran, limekatazwa na sheria. Wanaweza kukamatwa wakati wowote.

Katiba ya Iran inatambua dini ndogo ndogo. Wakristo wa Armenia na Ashuru wanaweza kufuata dini zao, lakini wamepigwa marufuku kuwahubiria Wairani wengine au hata kuwaruhusu kuingia makanisani mwao.

Religious of Peace
 
Ukiona Imani Fulani inalinda dini yake kiasi hiki ujue kuna shida na hawajiamini maana wanajua wakiruhusu Uhuru wa kuabudu na kujenga makanisa ujue baada ya miaka 5 hiyo dini na watu wake wote watahama.

Ule utamaduni wa Uhuru wa kuabudu kama wa nchi za ulaya ukiruhisiwa nchi za kiarabu baada ya miaka kadhaa hakutakuwa tena wavaa kobazi...hawa jamaa wanajua udhaifu uliopo kwenye Imani Yao ndiyo maana wanalinda Kwa gharama kubwa acheni waendelee kumpigania MUNGU wao
Kwa hio Vatican kuna msikiti ?
 
Kutakuwaje na msikiti wakati hakuna hata muislam mmoja?
Asa mbona Iran nchi ya kiislam na wakristo wanaishi poa na makanisa yapo .hakuna nchi ya kiislam ikanyima Uhuru wa kuabudu dini ingine.hata huko saudia kuna wakristo pia
 
Umeuliza Vatican kuna msikiti? Mi nimejibu kuwa hakuna kwa sababu hakuna Waislam
 
Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria Pasaka.

Yeye na mume wake walibadili dini na kuwa Wakristo miaka mingi iliyopita, jambo ambalo katika nchi yao ya Iran, limekatazwa na sheria. Wanaweza kukamatwa wakati wowote.

Katiba ya Iran inatambua dini ndogo ndogo. Wakristo wa Armenia na Ashuru wanaweza kufuata dini zao, lakini wamepigwa marufuku kuwahubiria Wairani wengine au hata kuwaruhusu kuingia makanisani mwao.

Umewahi kuona katika Jiji la Vatican Kuna swaliwa swala ya Eid ?Kila sehem kuna culture zao
 
Hakuna mtu anakatazwa kwenda kuswali sio Eid tu hata matambiko rukusa
Uliona wapi shughuli za waislamu vatican ? Acha ujinga hakuna hata muislamu mmoja .

Pale tunajua kuna ukristo sio lazima kwenda kwani kuna nn cha maan .

Danganya wajinga wa kijijini kwenu ..Hakuna shughuli hata chembe ya muislamu vatican .
 
Kama wao wanaona ukrisito ni hatari kwa usalama na maadili ya taifa lao wana haki ya kuudhibiti.
Alafu hata hivyo wakristo ndani ya Iran wametengewa mpaka viti maalumu ndani ya bunge la nchi hiyo sasa sijui hizi habari za Iran kukandamiza wakristo zinatoka wapi?
Ila tunalalamika China inagandamiza waislam!
 
Back
Top Bottom