Wakristo wa Iran washerehekea Pasaka mafichoni

Wakristo wa Iran washerehekea Pasaka mafichoni

Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria Pasaka.

Yeye na mume wake walibadili dini na kuwa Wakristo miaka mingi iliyopita, jambo ambalo katika nchi yao ya Iran, limekatazwa na sheria. Wanaweza kukamatwa wakati wowote.

Katiba ya Iran inatambua dini ndogo ndogo. Wakristo wa Armenia na Ashuru wanaweza kufuata dini zao, lakini wamepigwa marufuku kuwahubiria Wairani wengine au hata kuwaruhusu kuingia makanisani mwao.

Screenshot_20240402-073444_Chrome.jpg
 
Kama pale Zba maustazi walifumwa wakipigana vipara ndani ya selo ya polisi
Sasa wewe kweli wa kuwasema watu wakati upo seminari mafadha walikuwa wanabadilishana tu😂
 
1. Wapi umeyaona nikiyasema hayo au ya namna hiyo?

2. Kwa vile wewe ulikuwa unaomba kunyanduliwa usidhani kila mkristo alipaswa kukuunga mkono.

3. Huko utamimbwa huko wewe na mamburumundu wa aina yako mliochagua kushikiwa akil kina Rashid, kishakahola, kibwetere na wa namna hiyo.

Halafu naona makelele yetu humu yamesababisha mkabadili, juzi serikali ya Zanzibar imetoa tamko kwamba sio taifa la kidini.... Najua hapo ulipo unatamani kulia..
 
Ukiona tu dini ni ya kulazimisha ujue sio ya Mungu. Sio Waislamu tu hata Wakristu zamani waliua sana watu na kuwalazimisha kuamini. Tumia akili sasa ili ujue dini ya kweli. Kwangu imani ya kweli ni ya wahenga wetu waliotangulia mbele ya haki, wao wapo na Mungu wa kweli na sio hawa wa mchongo duniani.
 
Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria Pasaka.

Yeye na mume wake walibadili dini na kuwa Wakristo miaka mingi iliyopita, jambo ambalo katika nchi yao ya Iran, limekatazwa na sheria. Wanaweza kukamatwa wakati wowote.

Katiba ya Iran inatambua dini ndogo ndogo. Wakristo wa Armenia na Ashuru wanaweza kufuata dini zao, lakini wamepigwa marufuku kuwahubiria Wairani wengine au hata kuwaruhusu kuingia makanisani mwao.

Hii nchi mamilioni hawautaki uislam wameshaishi kwene sheria kali za kiislam tangu 1979 wamechoka!
wairan wengi hawatak hata mambo ya hijab
 
Uislam hauwezi compete na dini yeyeto thus unalindwa kwa bunduki,maana wanajua watu wakielezwa ukweli utafutika.
Thus ni Bora ukutwe na bange airport uarabuni na sio Biblia.
 
Uhuru lazima uwe na mipaka wewe usingependa mwanao abadili maadili na aanze kufundishwa ushoga, kisa ni uhuru wake.
Mbona Kuna mashoga kibao kwenye dini yenu Mfano afande rama je wamefundisha na dini?
 
Shetani alitupwa duniani na kazi yake kuu ni tatu kama ilivyoandikwa kwenye biblia.
" Mwizi (Shetani) huja kwa nia ya kuiba, kuua na kuharibu. Nimekuja (Yesu) ili watu wapate uzima; uzima ulio kamili. Saa nyingine tunajikuta tunamsaidia shetani kutimiza malengo yake. Mungu atusaidie tuepukane na huyu shetani na tumfahamu Mungu wa kweli mwenye kuleta uzima maana siku ya hukumu wengi tutaomboleza kwa ajili ya kumsaidia huyu adui shetani kazi zake za kuua, kuharibu na kuiba.
 
Hata hivyo uislam unachakazwa na utachakaa, miaka michache ijayo utasambaratika duniani. Hakuna raia wa dunia hii anayetamani kuwa mfuasi wa dini hiyo. Wanafanya kulazimishwa kuamini allah, kitu ambacho ni sawa na sanamu tu. Ni suala la muda tu hiyo dini itasambaratishwa na kupotea duniani
 
kati ya vitu tunatakiwa kuomba visitokee, ni vita kati ya Israel na Iran. itaathiri uchumi wa dunia nzima, na ndicho Iran atakachofanya. kwasababu supply ya mafuta na gesi ikupungua tu toka Iran (jambo ambalo atalifanya kama kuishinikiza dunia ione madhara ya uchokozi wa Israel), itaathiri sana Africa, na watu wenye kipato cha chini wataumia sana na hata wenye kipato cha juu mitaji itaumia.
 
Ukiona Imani Fulani inalinda dini yake kiasi hiki ujue kuna shida na hawajiamini maana wanajua wakiruhusu Uhuru wa kuabudu na kujenga makanisa ujue baada ya miaka 5 hiyo dini na watu wake wote watahama.

Ule utamaduni wa Uhuru wa kuabudu kama wa nchi za ulaya ukiruhisiwa nchi za kiarabu baada ya miaka kadhaa hakutakuwa tena wavaa kobazi...hawa jamaa wanajua udhaifu uliopo kwenye Imani Yao ndiyo maana wanalinda Kwa gharama kubwa acheni waendelee kumpigania MUNGU wao
Nyie msiolinda dini ndo mnatakiwa kufumuana marinda na muwakilishi wa Mungu duniani,papa
 
Back
Top Bottom