Wakristo bucha hii hapa

Wakristo bucha hii hapa

segwanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
2,788
Reaction score
731
529706_343894205716285_672154241_n.jpg

“Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM.” tafakari kisha chukua hatua
 
Mkuu, hii picha imepigwa kutoka upande gani wa nchi hii?

Tiba
 
529706_343894205716285_672154241_n.jpg

"Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM." tafakari kisha chukua hatua
Imetulia hii, tena inafaa mabucha yote yabandike lebo ya aina hii ili kila mtu achague nyama aipendayo vinginevyo tutalishana vubudu tuu, watu miaka yote wananyonga leo wanadai wachinje.
 
hapa kijana ustadh juma sidhani kama ataweza kusogelea..
 
Hii c dalili nzuri hata kidogo.. Tumeanza na mabucha.. Nini kitakachofuata baadae..? Maana tunashabikia lakini hebu tuangalie huko mbele kwa mwendo huu.. Ninawafikiria wanangu wanaokuwa katika mkanganyiko huu.. Ninawatengenezea mazingira gani ya kuishi kama Watanzania..? Naogopa sana.. Serious..
 
Duh hii kali natamani hili butcher lingekuwa mtaani wangu.

529706_343894205716285_672154241_n.jpg
 
Safi sana.. Kwa sababu JK alikuwa anafikiri anaikomoa CDM sasa atavuna upuuzzzi aliupanda...
 
Hii kitu ni hatari sijui kuna mkono wa nani.... Tusije kuelekea kuishi kila dini mitaa yao kama Baghdad. Hii sio laana ya kupuuza wosia wa mwalimu Nyerere. Mungu apishilie mbali.
 
Naona sasa soko la samaki litapanda sana hasa Kanda ya Ziwa.Nashauri hata vile viwanda vya wahindi vya kucharanga minofu ya samaki vifungwe ili samaki wakidhi mahitaji ya Ndani.
 
529706_343894205716285_672154241_n.jpg

“Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM.” tafakari kisha chukua hatua

...na mkumbuka Busara na hekima ya Mzee Ruksa.
"kuhusu maduka ya nguruwe pale Kinondoni"
... Mtu akitaka kula... RUKSA,... Akitaka kuuza nyama ya... Ruksa.
 
yaani mpaka inakera kabisa, hivi kwa nini uongozi hauchukua hatua zinanoeleweka? jibu ninalo "tuna rais dhaifu sana"
 
toba...naiyonea huruma tanzania yangu....
 
Kama kuchinja ni 'ibada'...basi nakubali kuwa kila mmoja awe na ibada yake (achinje kivyake). Ukitaka kushiriki ibada ya mwenzio kwa hiyari yako, sawa (mbona waIslamu na waKristo husrikishana kwenye ibada mfano misiba, lakini kwa hiyari)!
 
Hii c dalili nzuri hata kidogo.. Tumeanza na mabucha.. Nini kitakachofuata baadae..? Maana tunashabikia lakini hebu tuangalie huko mbele kwa mwendo huu.. Ninawafikiria wanangu wanaokuwa katika mkanganyiko huu.. Ninawatengenezea mazingira gani ya kuishi kama Watanzania..? Naogopa sana.. Serious..

Hakuna haja ya kuwa na hofu.....duniani kote kwenye mchanganyiko wa imani huu ndio utaratibu.......kumbuka suala la kuchinja kiislamu ni la waislamu tu na halihusu imani zingine......mazoea tulokuwa nayo hayakuwa sahihi

images
 
Imetulia hii, tena inafaa mabucha yote yabandike lebo ya aina hii ili kila mtu achague nyama aipendayo vinginevyo tutalishana vubudu tuu, watu miaka yote wananyonga leo wanadai wachinje.
mbona nyama za porini mnakula na hazichinjwi jaribu kuchinja mbogo.
 
Imetulia hii, tena inafaa mabucha yote yabandike lebo ya aina hii ili kila mtu achague nyama aipendayo vinginevyo tutalishana vubudu tuu, watu miaka yote wananyonga leo wanadai wachinje.
Kikrstu hakuna kitu inayoitwa kunyonga.... Hivyo basi usiingize imani ya kiislamu kwa wakristu
 
Back
Top Bottom