Taifa_Kwanza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 443
- 86
Habari za leo wapendwa.
Kwa siku takriban tano nimekuwa nikiumiza kichwa na kujiuliza wakowapi wazalendo wa nchi hii? ndio wale wazalendo waaandishi wa habari na wanasiasa waliokuwa wakipinga Tanesco isinunue mitambo ya Dowans kwa sababu ni ya kifisadi! Lakini wamefyta mkia baada ya Dowans kuuzwa! sasa nashindwa kuelewa akili zao zipo vipi? Maana mashine zile zingenunuliwa na Tanesco kusingekuwa na capacity charges wala kununua umeme utakaozalishwa kwa units zitakazozalishwa. Sasa kuna maneno ya chini chini kuwa Symbion Power wanajadili mkataba na Tanesco je Symbion watauza umeme senti nne za kimarekani kama Dowans? ina maana wazalendo wetu wanalichukulia poa hili swala la nchi yetu kuwa shamba la bibi? Wako wapi waandishi wetu waliokuwa wamelisimamia kidedea swala la Dowans? Wako wapi wanasiasa wetu waliokua wakiongea mpaka mapovu ya mdomo yanawatoka kwenye kupinga serikali isinunue mitambo ya Dowans?
Naongejea kwa hamu Dr Slaa, Mwakyembe na Sitta wazungumzie ununuzi huu I can't wait Mwanakijiji na kina Ansert Gurumo articles to apper on newspapers ziwe za kupongeza Symbion Powers au kama zile za Dowans nina shauku kujua mengi hawa wakubwa wanalichukulia vipi hili swala.
You do not need to wait for DR or any other big fish to comment on this,
Mimi nitakujibu wewe.
Serikali yetu ilitakiwa na ikafanya hivyo baada ya kulazimishwa, kutokuinunua
mitambo ya Dowans sio kutoka kwa dowans tu, bali hata katika arrangement
nyinyinge yoyote ile kama walivyofanya kwa hao symbion for only one reason.
Our Country, our Government and the People of Tanzania hates Corruption,
and would never want to have any dealing with both corruptive individuals,
corruptive companies and corruptive partinerships and that, we are not
ready to see, participate or allow a corruptive arrangement to occur in our land.
Now that, the Government of the united repulic of Tanzania has acted contrarly
to this, it has added premium points to our feelings that, this government, under the
learship of Jakaya Mrisho Kikwete is not saving the best interest of its people, it
is a minority government, it is evil and as comming from the october 2010 general
election irregitimate.
You do not need to wait any body to tell you this, you are actually expected to
have found this on your own