Wakowapi wazalendo wetu???????????

Habari za leo wapendwa.

Kwa siku takriban tano nimekuwa nikiumiza kichwa na kujiuliza wakowapi wazalendo wa nchi hii? ndio wale wazalendo waaandishi wa habari na wanasiasa waliokuwa wakipinga Tanesco isinunue mitambo ya Dowans kwa sababu ni ya kifisadi! Lakini wamefyta mkia baada ya Dowans kuuzwa! sasa nashindwa kuelewa akili zao zipo vipi? Maana mashine zile zingenunuliwa na Tanesco kusingekuwa na capacity charges wala kununua umeme utakaozalishwa kwa units zitakazozalishwa. Sasa kuna maneno ya chini chini kuwa Symbion Power wanajadili mkataba na Tanesco je Symbion watauza umeme senti nne za kimarekani kama Dowans? ina maana wazalendo wetu wanalichukulia poa hili swala la nchi yetu kuwa shamba la bibi? Wako wapi waandishi wetu waliokuwa wamelisimamia kidedea swala la Dowans? Wako wapi wanasiasa wetu waliokua wakiongea mpaka mapovu ya mdomo yanawatoka kwenye kupinga serikali isinunue mitambo ya Dowans?

Naongejea kwa hamu Dr Slaa, Mwakyembe na Sitta wazungumzie ununuzi huu I can't wait Mwanakijiji na kina Ansert Gurumo articles to apper on newspapers ziwe za kupongeza Symbion Powers au kama zile za Dowans nina shauku kujua mengi hawa wakubwa wanalichukulia vipi hili swala.

You do not need to wait for DR or any other big fish to comment on this,
Mimi nitakujibu wewe.

Serikali yetu ilitakiwa na ikafanya hivyo baada ya kulazimishwa, kutokuinunua
mitambo ya Dowans sio kutoka kwa dowans tu, bali hata katika arrangement
nyinyinge yoyote ile kama walivyofanya kwa hao symbion for only one reason.

Our Country, our Government and the People of Tanzania hates Corruption,
and would never want to have any dealing with both corruptive individuals,
corruptive companies and corruptive partinerships and that, we are not
ready to see, participate or allow a corruptive arrangement to occur in our land.

Now that, the Government of the united repulic of Tanzania has acted contrarly
to this, it has added premium points to our feelings that, this government, under the
learship of Jakaya Mrisho Kikwete is not saving the best interest of its people, it
is a minority government, it is evil and as comming from the october 2010 general
election irregitimate.

You do not need to wait any body to tell you this, you are actually expected to
have found this on your own
 
Before haya yooote hivi ile kesi mahakamani vipi? ka bado iko hivi ni legal kwa Dowans kuuza mitambo na Tanesco kuingia mkataba na hyo Symboian cjui? Naona ka ktk hii issue kuna ukiukwaji wa sheria na upuuziaji wa amri ya mahakama
 
You do not need to wait for DR or any other big fish to comment on this,
Mimi nitakujibu wewe.

Our Country, our Government and the People of Tanzania hates Corruption,
and would never want to have any dealing with both corruptive individuals,
corruptive companies and corruptive partinerships and that, we are not
ready to see, participate or allow a corruptive arrangement to occur in our land.

You do not need to wait any body to tell you this, you are actually expected to
have found this on your own

MAfisadi ni watu lakini machine zinaufisadi gani ikiwa ziana uwezo wa kuzalisha umeme? think out of the box kijana wewe akili yako bado inachemka. Ikiwa hili swala linamwegemea Rais peke yake kina Dr Slaa si ndio wangepata usemi? naamini ipo namna hapa!
 
Kuna mtu kanitumia msg kwenye namba yangu ya kiganjani anasema tatizo Dowans ni wavaa kanzu ndio maana walikuwa hawanywi maji na Symbion wapiga suti ndio maana jamaa kimya! sijui kama hili lina ukweli mie naamini kuna jambo iweje magaazeti ghafla hakuna habari tena za dowans wala symbion?

hii ina justify jinsi mada yako isivyo na hoja ..... umeshakimbilia kwenye kanzu na suti ... andika thread mpya kuhusu hili

halafu unategemea kutatokea analytical contribution kwenye hoja rojorojo kama hizi .... mmhhhh
 
Post yangu namba 19 inasema hiviiiii

Hivi balozi wa super power akiipongeza kampuni ya nyumbani kuna mwandishi au mwanasiasa anaeweza kuongea kitu? Kitu hiyo aliiweza Mwalimu peke yake na kwa bahati mbaya alizikwa nayo! Hakuna suala la udini wala nini ni woga tu!
 
Msimamo wangu ni kuwa Tanesco wangenunua mitambo pengine hii ya dowans haifai basi wangenunua mingine ili isiingie gharama za kununua umeme na zile za capacity charges wewe msimamo wako upo vipi?
kama msimamo wako ndio huo basi ndo wanachofanya TANESCO sasaivi wnanunua mitambo,mmoja utawekwa dar uatakuwa unatumia gas na mwingine mwanza...so huna haja ya kulalamika kama msimamo wako ndio huo.Nilidhani unasema dowans wachukuliwe hatua kwa kuuza mitambo while kuna kesi mahakamani...
 
Kuna mtu kanitumia msg kwenye namba yangu ya kiganjani anasema tatizo Dowans ni wavaa kanzu ndio maana walikuwa hawanywi maji na Symbion wapiga suti ndio maana jamaa kimya! sijui kama hili lina ukweli mie naamini kuna jambo iweje magaazeti ghafla hakuna habari tena za dowans wala symbion?
shose tumia aklil yako kufikiria acheni kuleta udini kwenye masuala ya msingi.Kila mtu mwenye akili timamu anajua richmond/dowans kulikuwa na tatizo gani wewe ukiwa mojawapo na ndo chanzo cha kelele,can you tell me whats wrong with symbion?tuweke ushabiki pembeni may be mi sielewi kitu kuhusu symbioni just tell me...
 
shossi hoja ni mtambo chakavu au hili la dini unalotaka kulianzisha ?
 
Pitia post yangu namba 19 nilisema hiviiii

quote_icon.png
Originally Posted by Mohammed Shossi
Hivi balozi wa super power akiipongeza kampuni ya nyumbani kuna mwandishi au mwanasiasa anaeweza kuongea kitu? Kitu hiyo aliiweza Mwalimu peke yake na kwa bahati mbaya alizikwa nayo! Hakuna suala la udini wala nini ni woga tu!
 
shossi hoja ni mtambo chakavu au hili la dini unalotaka kulianzisha ?

Post yangu namba 19 nilisema hiviiii

quote_icon.png
Originally Posted by Mohammed Shossi
Hivi balozi wa super power akiipongeza kampuni ya nyumbani kuna mwandishi au mwanasiasa anaeweza kuongea kitu? Kitu hiyo aliiweza Mwalimu peke yake na kwa bahati mbaya alizikwa nayo! Hakuna suala la udini wala nini ni woga tu!
 
Original thread ni nzuri, binafsi sina shida nayo..........

Lakini mantiki ya thread imeanza kuwa eroded na subsequent posts za mwanzisha thread mwenyewe, hususan baada alipoanza kuchomeka sentiments za U-DINI!

Ndugu zanguni wasomi, hii mizaha mizaha ya U-DINI hii.......haya!!
 
Hivi balozi wa super power akiipongeza kampuni ya nyumbani kuna mwandishi au mwanasiasa anaeweza kuongea kitu? Kitu hiyo aliiweza Mwalimu peke yake na kwa bahati mbaya alizikwa nayo! Hakuna suala la udini wala nini ni woga tu!
We jamaa umeleta hii thread yako hapa wakati unajua fika kwamba matatizo yanaanzia kwa rais wako, jamaa nchi ilishamshinda kila sehemu watu wanafanya wanavyotaka. Hivi hasomi magazeti au washauri na wasaidizi wake hawamwambii madudu yanayofanyika, Nyamongo watu wamepigwa risasi yupo kimya, Mikataba mibovu wameingia yeye hamna hatua zozote amechukua.
Maovu yote yanayofanywa hapa Bongo basi ujue Dr. Mh. is behind kwani mtoto wake Riz1 sasa hivi ni bilionea kwa sababu ya Madowans na mambo mengine yanayoendelea.
 
Tatizo tumewaachia wale walioko mstari wa mbele wapigane peke yao?
ALBERT EISTEN aliwahi kusema "dunia si mahali salama pa kuishi;si kwa sababu kuna waovu wengi bali kuna watu wengi ambao hawapo tayari kupambana na uovu".
Huenda tunapaswa kwenda mstari wa mbele SASA.
 
Shossi, hapa ndipo ulianza kulikoroga;

Kuna mtu kanitumia msg kwenye namba yangu ya kiganjani anasema tatizo Dowans ni wavaa kanzu ndio maana walikuwa hawanywi maji na Symbion wapiga suti ndio maana jamaa kimya! sijui kama hili lina ukweli mie naamini kuna jambo iweje magaazeti ghafla hakuna habari tena za dowans wala symbion?

Huyu mdau akakuonya kwamba kama huko ndiko unakusudia kwenda basi umepotea njia;

kumbe wewe target yako hapa ni kuongelea udini tu hapa.
JK si ndio mwenye mamlaka yote? mfuate umwambie si unalalamika tu hapa angekuwa Mkapa ndio rais nina uhakika ungeshavaa bomu na kujilipia sasa ivi ngekuwa na mabikra

Lakini ghafla baada ya kugundua umestukiwa unaanza kukimbia kivuli chako, nani mwoga hapa kama sio wewe mwenyewe??

Hivi balozi wa super power akiipongeza kampuni ya nyumbani kuna mwandishi au mwanasiasa anaeweza kuongea kitu? Kitu hiyo aliiweza Mwalimu peke yake na kwa bahati mbaya alizikwa nayo! Hakuna suala la udini wala nini ni woga tu![/QUOTE]
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Sheria za manunuzi za serikali haziruhusu kununua mitambo ambayo ni second hand, na pia hairuhusu "kusingle source" mzabuni..

Single source procurement inaruhusiwa tu endapo product unayoitaka inapatikana kwa supplier mmoja tu.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom