Wakosoaji wa Serikali wanatumwa?

Mnatumwa ndio kwa kuwa hamjawahi kuhoji matatizo halisi ya watanzania na mmekua chanzo cha kuanzisha mijadala isiyokuwa na tija kwa maisha ya kila siku ya mtanzania....
Kwamba wizi wa 1.5T zilizopigwa na kiberenge siyo tatizo halisi la Watanzania, eti? sounds funny and stupid
 
kichwa chako kilivyo chepesi hakioni uhusiano wa hoja kubwa zinazoletwa na wanaotakia mema nchi hii mpaka hiyo hoja iwe inagusa bei ya sukari mtaani kwako. akili mbovu kabisa hizi. we kweli jingalao
 
Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.

Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
Kuulizia 1.5T nikukosoa bila Malengo?
 
Ni kweli wanatumika kwa maana lengo Lao ni Moja tu;

Kuhakikisha Serikali haitimizi ahadi zake kwa wananchi...
Serikali inayojitambua haitashindwa kutekeleza Agenda zake kwa kukosolewa itashindwa sababu ya WIZI kama wa 1.5 T
 
H. Polepole alishakwambia 2020 katafute kazi ya kufanya, labda Ridhwani Kikwete au Mangi Kimambi watakupa kazi lkn Bunge letu sahau, haurudi!

2025-2025 say no Mafisadi, no Usaliti!

Zito Kabwe, Tundu Lisu &Co. Out!
Ila nyie ndugu sijui mnatumiaga viungo gani kufikiri hiki ulichoandika kinajibuje HOJA ya Zitto
 
Tatizo la viongozi wa vyama vya upinzani ni wapiga kelele tu na kuwaonesha wananchi wapi wameonewa na hawana suluhisho kazi kutupa stress tu.........
 
Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
kuharibu Nachi
kwa kuiba au Kwa kuisema serikali? mi nadhani mwizi na muuaji ndio anaharibu nchi kumbe kwenye kizazi cha dot com cha ki CCM wizi poa tuu?
 
Kumbe ndiyo ipo hivi...

CAG ana mamlaka makubwa kiasi kwamba Rais hana mamlaka ya kumfukuza Kazi hata amchukie namna gani.


Cc: mahondaw
 
Akili nyingi sana, mada nzito hii,kwa mapana ya nchi yetu
 
Usipo chafuka utajifunzaje kufua.Serikali ya kidemokrasia ni ile inayopokea makosa yake na kuyafanyia kazi ila serikali ambayo ni ya kidikteta aipendi kukosolewa wala haimpendi mkosowaji
 
Wakizijibu kwa mpangilio huo kama Zitto alivyodai basi tutajuwa nani muongo na mkweli, raia tunaumia kumbe labda, narudia labda ni sababu ya uchafu kama huu?! Haiwezekani, mpaka lini?!
Waje wajibu...
 
"Nchi inaongozwa na malaika ambaye hakosei kwahiyo hamtakiwi kumkosoa."


Tuvumilie tu hii awamu ipite.
 
Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
Hahahahaha aisee wanyonge wapi? Nani mnyonge??
Hii nadharia ndio mnayotumia kuwalaghai watu eti wajione ni wanyonge na nyie ndio tabaka kuu lisilo la wanyonge na kazi
ni kuwatetea hawa wanyonge. Watanzania wameamka, hawakamatwi la lugha laghai zenu. Hakuna mnyonge mnayemtetea. Mwambie mkubwa wenu abadilishe wimbo
 
Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
Kwa hiyo waliuza mali ya taifa, kusaini mikataba mibovu, kufanya maamuzi ya kuitia serikali hasara si vibaraka!??? Tuache unafiki, penye ukweli tuwe wakweli. Nigger, puliizi!!
 
Reactions: Cyb
MAADUI WA KWANZA WALIKUWA WAISLAM WAKIULIZWA WANAAMBIWA WANALETA UDINI. LEO KKKT KESHO ROMAN CATHOLIC KESHOKUTWA ADVENTIST SIKU INAYOFUATA WALOKOLE. SERIKALI HAINA DINI ILA WANANCHI WAKE WANADINI. ILA IMEJISAHAU KUWA SERIKALI NI WATU NA WATU NDIO WAUMINI WA DINI
 
H. Polepole alishakwambia 2020 katafute kazi ya kufanya, labda Ridhwani Kikwete au Mangi Kimambi watakupa kazi lkn Bunge letu sahau, haurudi!

2025-2025 say no Mafisadi, no Usaliti!

Zito Kabwe, Tundu Lisu &Co. Out!
Polepole nani Nchi hii mpaka awaamulie wana Kigoma!!
Naona Mmelewa Madaraka Kama Walevi wa pombe za Bure,Hakuna Mwenye nguvu kuzidi Wananchi
Na hiyo 2025-2025 ndiyo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…