Wakorea weusi na Waisrael Mbeya ni hatari!

Wakorea weusi na Waisrael Mbeya ni hatari!

Polisi fanyeni msako kamateni hao watoto. kuna mwaka walishawahi tokea wanakata matiti ya wanawake wanaondoka nayo, mara wakawa wanachuna ngozi, mara wakawa wanapiga nondo za kutumia kwenye bucha, sasa wameanza tena nondo. RPC na OCD mpo?
 
Mbeya ndo viazi ulaya vya chips vinapotokea
 
Machalii wa mbeya wengi vijeba wamejazia ila waoga balaa,kama miez miwili iliyopita mtu alipigwa nondo anapiga kelele vijamaa vimejifungia ndani kimyaa!Arusha atunaga uoga wa hivyo labda tukiskia mlio wa mashine.
Acha kutudhihaki wewe
 
Achana na habari zako za kizushi na udaku was Dar. Mbeya hapana laana , Mbeya ni mahali salama kabisaa. Hao ndugu zenu walevi, vibaka au wazurulaji wanagombana wenyewe huko alafu unataka kutuchafulia jiji letu. Acha uzushi wewe.
 
Akina Atufigwegwe na Mwalukasu wote chaliiiii wanaogopa hao viande wanaoitwa wakorea weusi [emoji23][emoji23] ingekua imetokea Dar hawa walima viazi wangekuja mbio hapo hapa kutunanga na kashfa kibao
 
inasemekana omba hao wakorea wasikukute, watu hawatembei usiku ati.
 
dah, tunashukuru Mungu, inasemekana wameanza kukamatwa huko Mbeya. kyara uju, ndaga fijo.
 
Kama kuna mtu mwenye ndugu Mbeya mjini kama tulivyo wengi, imefikia wakati tunataka kuwahamisha ndugu zetu sasa watoke kwenye hilo jiji walau hali itulie ndio warudi.

Nasikia kuna vijana wametokea wanaitwa WAKOREA WEUSI na WAISRAEL, ni mbadala wa wale wapiga nondo, wanapiga watu nondo hadi kuua, wanakatakata mapanga, Mbeya kutembea usiku kuanzia saa mbili ni hatari, hakuna usalama.

Wengine wanavamia nyumba na kufanya wafanyacho. Tafadhali polisi, mtusaidie, kuna watoto wetu huko, kuna wadogo zetu na mama zetu, RPC umeshindwa nini kuweka doria kukamata hao vijana panyarodi wa Mbeya?

Tafadhali RPC sijui unaitwa nani.
Gari ya patrol mbeya mjini yoote ipo moja tatizo ndiyo linaanzia hapo..

Yale uliyoona mengi kwenye picha za hukumu ya sugu yalikuja kisisasa zaidi..
 
Back
Top Bottom