Wakorea weusi na Waisrael Mbeya ni hatari!

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,898
Kama kuna mtu mwenye ndugu Mbeya mjini kama tulivyo wengi, imefikia wakati tunataka kuwahamisha ndugu zetu sasa watoke kwenye hilo jiji walau hali itulie ndio warudi.

Nasikia kuna vijana wametokea wanaitwa WAKOREA WEUSI na WAISRAEL, ni mbadala wa wale wapiga nondo, wanapiga watu nondo hadi kuua, wanakatakata mapanga, Mbeya kutembea usiku kuanzia saa mbili ni hatari, hakuna usalama.

Wengine wanavamia nyumba na kufanya wafanyacho. Tafadhali polisi, mtusaidie, kuna watoto wetu huko, kuna wadogo zetu na mama zetu, RPC umeshindwa nini kuweka doria kukamata hao vijana panyarodi wa Mbeya?

Tafadhali RPC sijui unaitwa nani.
 
Hivi upigaji wao wa nondo na mapanga,unahusisha imani za kishirikina au ni Uporaji wa kutumia silaha
 
Kama kuna mtu mwenye ndugu Mbeya mjini kama tulivyo wengi, imefikia wakati tunataka kuwahamisha ndugu zetu sasa watoke kwenye hilo jiji walau hali itulie ndio warudi. nasikia kuna vijana wametokea wanaitwa WAKOREA WEUSI na WAISRAEL, ni mbadala wa wale wapiga nondo, wanapiga watu nondo hadi kuua, wanakatakata mapanga, Mbeya kutembea usiku kuanzia saa mbili ni hatari, hakuna usalama. wengine wanavamia nyumba na kufanya wafanyacho. Tafadhali polisi, mtusaidie, kuna watoto wetu huko, kuna wadogo zetu na mama zetu, RPC umeshindwa nini kuweka doria kukamata hao vijana panyarodi wa Mbeya? tafadhali RPC sijui unaitwa nani.
Si juz tu wamemwagwa polis vibaya mno ,,,
 
AISEE WANAUME WA MIKOANI NAO WANAOGOPA VIJANA WADOGO KAMA HAO?KUMBE ZILE MBWEMBWE ZOOOTE BURE KABISA.
WATOTO MNAWAFUGA WENYEWE HAO,ACHENI KULAUMU SERIKALI
 
tangu mbeya wapate lift ya kwanza na kupatwa kwa jua wamekua lege lege sanaa
 
Tuwashauri na kuwahamasisha washughulike na ccm ambao ndo chanzo cha matatizo yot
 
Kama kuna mtu mwenye ndugu Mbeya mjini kama tulivyo wengi, imefikia wakati tunataka kuwahamisha ndugu zetu sasa watoke kwenye hilo jiji walau hali itulie ndio warudi.

Nasikia kuna vijana wametokea wanaitwa WAKOREA WEUSI na WAISRAEL, ni mbadala wa wale wapiga nondo, wanapiga watu nondo hadi kuua, wanakatakata mapanga, Mbeya kutembea usiku kuanzia saa mbili ni hatari, hakuna usalama.

Wengine wanavamia nyumba na kufanya wafanyacho. Tafadhali polisi, mtusaidie, kuna watoto wetu huko, kuna wadogo zetu na mama zetu, RPC umeshindwa nini kuweka doria kukamata hao vijana panyarodi wa Mbeya?

Tafadhali RPC sijui unaitwa nani.
Suala la Sugu limeisha sasa imebaki kazi ya kuwashughulikia hawa wapuuzi. Naamini watakuwa wanapanga namna gani ya kuwashughulikia
 
Poleni sana dada zetu akina Atupakisye na Atuganile
 
Kama kuna mtu mwenye ndugu Mbeya mjini kama tulivyo wengi, imefikia wakati tunataka kuwahamisha ndugu zetu sasa watoke kwenye hilo jiji walau hali itulie ndio warudi.

Nasikia kuna vijana wametokea wanaitwa WAKOREA WEUSI na WAISRAEL, ni mbadala wa wale wapiga nondo, wanapiga watu nondo hadi kuua, wanakatakata mapanga, Mbeya kutembea usiku kuanzia saa mbili ni hatari, hakuna usalama.

Wengine wanavamia nyumba na kufanya wafanyacho. Tafadhali polisi, mtusaidie, kuna watoto wetu huko, kuna wadogo zetu na mama zetu, RPC umeshindwa nini kuweka doria kukamata hao vijana panyarodi wa Mbeya?

Tafadhali RPC sijui unaitwa nani.
Mkuu isije ikawa ni mlio wa "mbuzi"coz mwenye "mee" yupo zizini!!!ili wasikiapo "mee".........hahahaaaa "Tanzania ina Dodoma"
 
Poleni sana dada zetu akina Atupakisye na Atuganile
ndugu zetu wanapiga simu wanataka kuja Dar es Salaam kukimbia nondo za hao watoto. hivi polisi tuseme wameshindwa au ni kitu gani?
 
Mkuu isije ikawa ni mlio wa "mbuzi"coz mwenye "mee" yupo zizini!!!ili wasikiapo "mee".........hahahaaaa "Tanzania ina Dodoma"
kuna ripoti kadhaa watu wameshapigwa, na Mbeya ukisikia matukio ni kama wale panya road, wao wanapiga nondo kichwani, na wanapiga watu vulnerable hasa wanawake na walevi etc. ukiuliwa ndugu yako utajisikiaje?
 
Machalii wa mbeya wengi vijeba wamejazia ila waoga balaa,kama miez miwili iliyopita mtu alipigwa nondo anapiga kelele vijamaa vimejifungia ndani kimyaa!Arusha atunaga uoga wa hivyo labda tukiskia mlio wa mashine.
 
Back
Top Bottom