WAKORA SANA KAGERA SUGAR very fwantastic!!!!

Yaani wee acha tuu... wasiporudisha pesa ya Mbuyi Twite watakiona mwaka huu....hawajui timu ya ufundi ipo kazini...
Laana hiyo na mpaka watembee kwa magoti wakimuomba msamaha Mwenyekiti wetu hatukubali.
 
Mtaani shwariiii..hakuna kelele.Magazeti si ya kugombania, yapo tu...mfano " Yanga walala mzungu wa nne..." nk.Hayanunuliki jamani....
 
Yanga wataacha lini mchezo wa kulala mzungu wa nne. Je ni tatizo la pesa? Kama ni pesa mbona manji aliweke 100 million katika mechi na simba!!! Inanitia mashaka maana wanaume kulala kitanda Kimoja ninaweza kuleta balaa, tusije kuleta mashoga kwenye timu.
 
Wakikusikia unasema ukweli watakufukuza kama Tom Saintfet, mshika mfuko. Mwesigwa, na Sendeu wao.

Mkuu mie ni Yanga asili, wenzangu ni akina marehemu Ng'ozoma, kumbe hawa wote walioko katika uongozi, ni vijana wa sasa kumbe watafanya makosa wakinifukuza, acha timu irudi Dar kutoka mikoani tutadai watupe taarifa ya haya yote, Yanga kwanza, pesa zao baadaye.
 
Mkuu mie ni Yanga asili, wenzangu ni akina marehemu Ng'ozoma, kumbe hawa wote walioko katika uongozi, ni vijana wa sasa kumbe watafanya makosa wakinifukuza, acha timu irudi Dar kutoka mikoani tutadai watupe taarifa ya haya yote, Yanga kwanza, pesa zao baadaye.
Nimefurahi kubadilishana mawazo na mkongwe, JF tunahitaji uzoefu wako. Mfikishie salamu mzee Mzimba.
 
Mbwenuuuuuuuuuh ................. yakamtera Yanga!!!!!!!!!!!!!! 1 - 0 front ya My wife wake... is very fantastic
Hawa YANGA pamoja na wachezaji wa mataifa sita ... Congo, Burundi, Tanzania, Ghana, Uganda na Rwanda bado wanaendelea na tabia ya kunawa bila kula ...........
.. Iweeeeeeeeeeeeee

Iwe ya nini sasa,kwani umekatazwa na nani kuhama timu?.wenzako simba tuna raha sana tunapiga mabao kila kukicha.
 
Usajili wote tuliofanya lakini bado tunafungwa, nadhani sasa tujiulize kama pesa zilizotumika zimeleta watalii ama wachezaji, si ajabu tukala kipigo kutoka kwa wanetu hapo Kirumba kama mwaka wa jana, loooh, afadhali Tegete acheze maana....!
Walimwona Jamaa mmoja anaitwa Asamoah...wakajua atakuwa kama Gyan wa Ghana......sasa wakachukua Didier wakijua atakuwa kama Drogba kumbe mtumba haha ha haha
 
Back
Top Bottom