WAKORA SANA KAGERA SUGAR very fwantastic!!!!

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Mbwenuuuuuuuuuh ................. yakamtera Yanga!!!!!!!!!!!!!! 1 - 0 front ya My wife wake... is very fantastic
Hawa YANGA pamoja na wachezaji wa mataifa sita ... Congo, Burundi, Tanzania, Ghana, Uganda na Rwanda bado wanaendelea na tabia ya kunawa bila kula ...........
.. Iweeeeeeeeeeeeee
 
Yaani umenichekesha pilau.

Yanga wanadhani mpira ni kuwa na wachezaji wenye majina.

Mpira mipango. SIMBA kama kawa.
 
Mdomo huo Kokutona, mdomo huo....... Shauri yako.
 
ninavyofahamu soka la bongo simba ikianza vizuri mwanzoni mwa ligi huwa haichukui kombe,ukweli ni kinyume chake,Teee ! !teeeee! teeeee! teeeeee !
 
Nasubiri siku Manji atakapocharazwa bakora pale Jangwani. Na ukio hilo wala haliko mbali kutokea.
 
Usajili wote tuliofanya lakini bado tunafungwa, nadhani sasa tujiulize kama pesa zilizotumika zimeleta watalii ama wachezaji, si ajabu tukala kipigo kutoka kwa wanetu hapo Kirumba kama mwaka wa jana, loooh, afadhali Tegete acheze maana....!
 
Yule Tutindaga aka Tuti hakucheza au ??? lol Fisadi Manji anaajiri makocha waliofukuzwa timu nyingine na kuwalipa madafu kiduchu... !! Huyu wa sasa nimeona anavaa tight kama za wacheza shoo wa Riziwani jazz aka THT... 🙂

Nasubiri siku Manji atakapocharazwa bakora pale Jangwani. Na ukio hilo wala haliko mbali kutokea.
 
Jangwani hawana tofauti na waimba taarab,mdomo mwiiing huku wakitegemea urose mhando/nibeebe,hakuna mwenye dhiki tena ndo wahonge,wajipange sana
 
Kila kocha wa yanga lazima na style yake ya kuvaa. Huyu wa sasa kaibuka na skin tight
 
Mbwenuuuuuuuuuh ................. yakamtera Yanga!!!!!!!!!!!!!! 1 - 0 front ya My wife wake... is very fantastic
Hawa YANGA pamoja na wachezaji wa mataifa sita ... Congo, Burundi, Tanzania, Ghana, Uganda na Rwanda bado wanaendelea na tabia ya kunawa bila kula ...........
.. Iweeeeeeeeeeeeee

Yaani wee acha tuu... wasiporudisha pesa ya Mbuyi Twite watakiona mwaka huu....hawajui timu ya ufundi ipo kazini...
 
Usajili wote tuliofanya lakini bado tunafungwa, nadhani sasa tujiulize kama pesa zilizotumika zimeleta watalii ama wachezaji, si ajabu tukala kipigo kutoka kwa wanetu hapo Kirumba kama mwaka wa jana, loooh, afadhali Tegete acheze maana....!
Wakikusikia unasema ukweli watakufukuza kama Tom Saintfet, mshika mfuko. Mwesigwa, na Sendeu wao.
 
Back
Top Bottom