Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,006
- 27,081
😂😂😂😂😂😂😂😂Yesu anguComments ziwe fupi fupi.. Huku background tukisindikizwa na sound track ya nambari wani eehh... Nambari wani ni nambari waniiii....🥱[emoji1544][emoji1550]
DCB COMMERCIAL BANK
DCB COMMERCIAL BANK PLC
KWA WATEJA WOTE WA UVCCM WANAODAIDIWA MKOPO
Kufuatia tangazo lililotolewa na DCB Commercial Bank Pic kuhusu wanufaika wa mikopo ya UVCCM katika gazeti lililochapishwa Desemba 2023, Sasa tunachapisha majina na picha za wateja wa UVCCM wenye mikopo katika Benki ya DCB ambao wameshindwa kuwasilisha, au kufanya utaratibu wa kulipa. madeni ndani ya muda ulioruhusiwa.
Tafadhali kumbuka kuwa kushindwa kulipa madeni yako kutaacha benki bila chaguo lingine isipokuwa kuendelea kukuchukulia hatua za kisheria ndani ya mwezi mmoja kuanzia tarehe ya tangazo hili.
ZINGATIA TAREHE YA TANGAZOView attachment 2876528
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂