Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,378
- 37,885
X wangu Yule
Ila kiukweli DCB wasingeweka picha, nilikua najua UVCCM wamejaa vijana WA chuo na WA mtaani kama bodabodaKwa UVCCM hadi useme "nalemaga"/nimechoka!
Uzeni figo mlipe deni muhishimiwa.😂😂😂😂X wangu Yule
Tumshukuru Mungu kwa sasa umejua.Ila kiukweli DCB wasingeweka picha, nilikua najua UVCCM wamejaa vijana WA chuo na WA mtaani kama bodaboda
Hiyo benki Ina viongozi washenzi sana kwanini watoe mikopo bila collateral yoyote?Comments ziwe fupi fupi.. Huku background tukisindikizwa na sound track ya nambari wani eehh... Nambari wani ni nambari waniiii....🥱[emoji1544][emoji1550]
DCB COMMERCIAL BANK
DCB COMMERCIAL BANK PLC
KWA WATEJA WOTE WA UVCCM WANAODAIDIWA MKOPO
Kufuatia tangazo lililotolewa na DCB Commercial Bank Pic kuhusu wanufaika wa mikopo ya UVCCM katika gazeti lililochapishwa Desemba 2023, Sasa tunachapisha majina na picha za wateja wa UVCCM wenye mikopo katika Benki ya DCB ambao wameshindwa kuwasilisha, au kufanya utaratibu wa kulipa. madeni ndani ya muda ulioruhusiwa.
Tafadhali kumbuka kuwa kushindwa kulipa madeni yako kutaacha benki bila chaguo lingine isipokuwa kuendelea kukuchukulia hatua za kisheria ndani ya mwezi mmoja kuanzia tarehe ya tangazo hili.
ZINGATIA TAREHE YA TANGAZOView attachment 2876528
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli nimejua Leo kama watu wanazeeka nayoTumshukuru Mungu kwa sasa umejua.
Huwa wanalazimisha na kuwatumia wanene hadi mabenki kuingiwa hofu yenye imani.Matokeo yake ndiyo hayo sasa.Ni ushuzi wa ngomani,mjambaji hajulikani!Hiyo benki Ina viongozi washenzi sana kwanini watoe mikopo bila collateral yoyote?
Kwanini hayo mambo hatuyasikii nmb?Huwa wanalazimisha na kuwatumia wanene hadi mabenki kuingiwa hofu yenye imani.Matokeo yake ndiyo hayo sasa.Ni ushuzi wa ngomani,mjambaji hajulikani!
Moja ya sababu ya kukataa katiba mpya ni kuficha maovu yao, tukumbuke CCM ilipofilisika mwendazake alitembelea ofisi za CCM na kuahidi watalipwa mishahara siku hiyohiyo na alipofika ikulu malipo yalifanyika, pesa ya bajeti ya mwaka jana ilichotwa ili wafanyie matengenezo viwanja vya michezo walivyopora kutoka serikalini!Comments ziwe fupi fupi.. Huku background tukisindikizwa na sound track ya nambari wani eehh... Nambari wani ni nambari waniiii....🥱[emoji1544][emoji1550]
DCB COMMERCIAL BANK
DCB COMMERCIAL BANK PLC
KWA WATEJA WOTE WA UVCCM WANAODAIDIWA MKOPO
Kufuatia tangazo lililotolewa na DCB Commercial Bank Pic kuhusu wanufaika wa mikopo ya UVCCM katika gazeti lililochapishwa Desemba 2023, Sasa tunachapisha majina na picha za wateja wa UVCCM wenye mikopo katika Benki ya DCB ambao wameshindwa kuwasilisha, au kufanya utaratibu wa kulipa. madeni ndani ya muda ulioruhusiwa.
Tafadhali kumbuka kuwa kushindwa kulipa madeni yako kutaacha benki bila chaguo lingine isipokuwa kuendelea kukuchukulia hatua za kisheria ndani ya mwezi mmoja kuanzia tarehe ya tangazo hili.
ZINGATIA TAREHE YA TANGAZOView attachment 2876528
Sent using Jamii Forums mobile app
Time will surely tell us more about it!Kwanini hayo mambo hatuyasikii nmb?
Sio mimi ni wakopaji na benki laoWe mzee mwenzangu una mambo....!
Hahahahaa[emoji16]Next time DCB waweke Hadi nyumba number na location wanapoishi ili tujue vibaka tunaoishi nao
Collateral ni CCMHiyo benki Ina viongozi washenzi sana kwanini watoe mikopo bila collateral yoyote?
Basi wawadai CCM