Na mama Manka. Nataka nile uzee na katoto ka elfu mbiliUjana ulikula na nani?
Tupo mkuu.Karibu tule pension.
Bujibuji Simba NyamaumeHodi hodi JF
Wakongwe tumeamua kurudi JF, vitoto vya 2000's mtupishe.
Ngoja niifufue na ID yangu ya wakati JF inaitwa Jambo forum.
Uzi tayari toka kwa wazee wenu wa JF. 😀😀😀😀