Wako wapi watu wako mliosoma wote

Wako wapi watu wako mliosoma wote

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,015
Reaction score
828,774
Mlikuwa darasa moja lakini hatima hazikufanana.. Mlijenga urafiki mkashirikiana katika mengi. Lakini hatima hazikufanana.

Wengine mkafikia hatua ya kuwa familia kabisa.. Kwenu kwao na kwao kwenu. Lakini hatima hazikufanana
Mlikaa dawati moja mkasaidiana masomo, wengine mkacheza pamoja lakini hatima hazikufanana
Darasa moja mkifanana karibia kila kitu, umri sare za shule, family background lakini hatima hazikufanana
Wakumbuke watu wako mliokuwa nao darasa moja leo hii wako wapi na wewe uko wali
Ulikaa na waziri dawati moja
Ulikaa na jambazi dawati moja
Ulikaa na professor, na daktari na engineer
Ulikaa na marehemu😩😔 na mwasiasa mkubwa na tajiri mkubwa, na msanii marehemu.. Fumbo la maisha.. Fumbo la hatima..!
Wengine walikuwa marafiki wakubwa leo ni maadui wakubwa na kinyume chake
Je wewe uko fungu gani? Uko kundi gani? Je wewe ni mmojawapo wa kujitapa kwa watu kwamba ulisoma na fulani na ulimsaidia sana darasani!?🤔😔 Ama wewe ni mfano kwa wengine
Achana na chuo .. Waangalie watoto wanapomaliza shule ya msingi (huwa wanajiita L.Y) Walivyo na furaha ya hatima. Hawajui nini kinawasubiri
Ni ingizo jipya mtaani kwenye dunia isiyo na huruma
Wanaoendelea ni wengi wanaoishia mwanzoni ama katikati ni wachache.. Mimba, ndoa, wizi, madawa jela, 🥺😭 uchizi, nknk
Vita ya hatima.. Ni vita ya kiroho.. Asili, ndoto, mipango na kudra hubeba hatima zetu

Unakumbuka ulipokuwa unaulizwa unataka kuwa nani maishani!?
Unakumbuka mlivyokuwa mkisimuliana vile utakuwa nani ukiwa mkubwa?
Vita ya hatima! Wako wapi watu wako❗❗❗
IMG-20250607-WA0023.jpg
5ea235e5-ee0a-4275-aca3-405ecdc39822.jpeg
 
Vita ya hatima! Wako wapi watu wako❗❗❗View attachment 3367980View attachment 3367982
Mungu tusaidie tufikie hatma zetu ulizotupangia.
Kuna muda mambo yanakatisha sana tamaa ila Mungu umetupa uhai, Bado tunaendelea kupambana.
It shall be well.
 
Hatima huamua kila kitu, siyo Kosa au dhambi kutokua na maisha mazuri ilhali riziki anatoa mwenyezi Mungu, na zaidi bidii zetu kupambana
 
Best friend wa shule ya msingi alifariki tukiwa hatujamaliza

O level tulikuwa kundi watu watano tunasumbua sana... kama siku ikitokea kuna mechi kila mmoja atakuja na kilevi anachotakiwa kuleta (tulipeana vitengo, mimi nilikua in charge kuleta weed), kulikua na wa ugoro, pombe kali, wa ulanzi n.k
a) Mmoja alifariki tukiwa form 4
b) mwingine ni ile aina ya watu wanasemwa, "yule alikua zamani"
c) Mmoja anapiga debe stendi
d) Huyu mwingine taarifa zake sina

Advance na chuo sikuwa na marafiki ambao nilivuka nao hizo hatua. Nje ya mada, hivi ni kweli kwamba marafiki wengi wa ukweli tunawapata O level?
 
Said Shekilango (primary) jambazi sugu sasa hivi.. Uraiani hapawezi tena
Rashidi{Rashaboy} (Secondary) alikuwa na ndoto kubwa za kuwa mpiga picha mkubwa.. Alifariki na Meningitis hata kabla ya majibu kutoka🥱
 
Best friend wa shule ya msingi alifariki tukiwa hatujamaliza

O level tulikuwa kundi watu watano tunasumbua sana... kama siku ikitokea kuna mechi kila mmoja atakuja na kilevi anachotakiwa kuleta (tulipeana vitengo, mimi nilikua in charge kuleta weed), kulikua na wa ugoro, pombe kali, wa ulanzi n.k
a) Mmoja alifariki tukiwa form 4
b) mwingine ni ile aina ya watu wanasemwa, "yule alikua zamani"
c) Mmoja anapiga debe stendi
d) Huyu mwingine taarifa zake sina

Advance na chuo sikuwa na marafiki ambao nilivuka nao hizo hatua. Nje ya mada, hivi ni kweli kwamba marafiki wengi wa ukweli tunawapata O level?
(7,187) Marafiki wa kweli ni wa utotoni | JamiiForums Marafiki wa kweli ni wa utotoni
 
SADDAM,
yeye alikua Yorke Mimi cole yeye alikua rivaldo Mimi Ronaldo.

Ni rafiki yangu wa udogoni saidiana Sanaa potezana Sana kutana potezana kwa Sasa kila mtu ana pambania kombe kivyake vyake.

NB.nilio soma nao primary school nimepotezana nao woteeee sina mawasiliano nao na sijui walipo.
 
Nashukuru Mungu kuweza kupata marafiki katika hatua zote nilizopita katika kusoma kwangu.

Shule ya Msingi
Sekondari
Chuo Kikuu

Lakini katika wote hao, marafiki niliobahatika kushikamana nao ni wale wa Shule ya Msingi na Sekondari hasa O'level

Kupitia shughuli za kikazi na ajira, nimefanikiwa kupata co-workers tu, ambao kadri ninavyohama Ofisi moja hadi nyingine ndivyo mahusiano yanapokoma.

Mungu ni mwema, bado tumepata zawadi ya kuendelea kutumia pumzi yake ya bure.

Wapo marafiki/jamaa wengine wachache walishatangulia mbele za haki.
 
Best friend wa shule ya msingi alifariki tukiwa hatujamaliza

O level tulikuwa kundi watu watano tunasumbua sana... kama siku ikitokea kuna mechi kila mmoja atakuja na kilevi anachotakiwa kuleta (tulipeana vitengo, mimi nilikua in charge kuleta weed), kulikua na wa ugoro, pombe kali, wa ulanzi n.k
a) Mmoja alifariki tukiwa form 4
b) mwingine ni ile aina ya watu wanasemwa, "yule alikua zamani"
c) Mmoja anapiga debe stendi
d) Huyu mwingine taarifa zake sina

Advance na chuo sikuwa na marafiki ambao nilivuka nao hizo hatua. Nje ya mada, hivi ni kweli kwamba marafiki wengi wa ukweli tunawapata O level?
Olvl na advance Ila Chuo sio kihivo
 
Nashukuru Mungu kuweza kupata marafiki katika hatua zote nilizopita katika kusoma kwangu.

Shule ya Msingi
Sekondari
Chuo Kikuu

Lakini katika wote hao, marafiki niliobahatika kushikamana nao ni wale wa Shule ya Msingi na Sekondari hasa O'level

Kupitia shughuli za kikazi na ajira, nimefanikiwa kupata co-workers tu, ambao kadri ninavyohama Ofisi moja hadi nyingine ndivyo mahusiano yanapokoma.

Mungu ni mwema, bado tumepata zawadi ya kuendelea kutumia pumzi yake ya bure.

Wapo marafiki/jamaa wengine wachache walishatangulia mbele za haki.
Mfanyakazi mwenzio sio Rafiki yako
 
Mlikuwa darasa moja lakini hatima hazikufanana.. Mlijenga urafiki mkashirikiana katika mengi. Lakini hatima hazikufanana.

Wengine mkafikia hatua ya kuwa familia kabisa.. Kwenu kwao na kwao kwenu. Lakini hatima hazikufanana
Mlikaa dawati moja mkasaidiana masomo, wengine mkacheza pamoja lakini hatima hazikufanana
Darasa moja mkifanana karibia kila kitu, umri sare za shule, family background lakini hatima hazikufanana
Wakumbuke watu wako mliokuwa nao darasa moja leo hii wako wapi na wewe uko wali
Ulikaa na waziri dawati moja
Ulikaa na jambazi dawati moja
Ulikaa na professor, na daktari na engineer
Ulikaa na marehemu😩😔 na mwasiasa mkubwa na tajiri mkubwa, na msanii marehemu.. Fumbo la maisha.. Fumbo la hatima..!
Wengine walikuwa marafiki wakubwa leo ni maadui wakubwa na kinyume chake
Je wewe uko fungu gani? Uko kundi gani? Je wewe ni mmojawapo wa kujitapa kwa watu kwamba ulisoma na fulani na ulimsaidia sana darasani!?🤔😔 Ama wewe ni mfano kwa wengine
Achana na chuo .. Waangalie watoto wanapomaliza shule ya msingi (huwa wanajiita L.Y) Walivyo na furaha ya hatima. Hawajui nini kinawasubiri
Ni ingizo jipya mtaani kwenye dunia isiyo na huruma
Wanaoendelea ni wengi wanaoishia mwanzoni ama katikati ni wachache.. Mimba, ndoa, wizi, madawa jela, 🥺😭 uchizi, nknk
Vita ya hatima.. Ni vita ya kiroho.. Asili, ndoto, mipango na kudra hubeba hatima zetu

Unakumbuka ulipokuwa unaulizwa unataka kuwa nani maishani!?
Unakumbuka mlivyokuwa mkisimuliana vile utakuwa nani ukiwa mkubwa?
Vita ya hatima! Wako wapi watu wako❗❗❗View attachment 3367980View attachment 3367982

Wengine bado ni chipukizi wa chama dola, kama mimi. Nakumbuka zile nyimbo za Captain Komba RTD, za kuhamasisha ukombozi
 
Back
Top Bottom