Hapa nakuunga mkono maana msoga gang ilikua ni kula bata world wide none stopWalinzi wa Msoga ndio walikula good time. Hawa wa JPM safari za Chato-Dom, Dar na Mikoani tu.
😀😀 Nchi yangu Tanzania nakupendda wewe na watu wakeHuyu mwamba kwenye picha aloo alikua njema sana alaf alikua makini kama ushahudhuria mikutano ya jpm jamaa alikua indetail ukijigusa vibaya tu ashakutupia jicho kuna siku nilimsumbua sana mpka nikasepa ananikazia jicho tu