Wako wapi waigizaji Bishanga, Aisha na Waridi?

Wako wapi waigizaji Bishanga, Aisha na Waridi?

Baadhi yetu wenye uhenga mdogo tulibahatika kufuatilia igizo la mambo hayo lililokuwa likirushwa na televisheni kongwe ya ITV.

Katika Igizo hilo mwanzoni japo nilikuwa mdogo nakumbuka walikuwepo waigizaji maarufu kipindi hicho cha miaka ya 1997-2000 (kama nipo sijakosea).

Waigizaji hao ni Bishanga Bashaija, Richie Richie, Aisha na Waridi.

Richie (Single Mtambalike) huwa tunamwona, je hao waigizaji wengine wako wapi hivi sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wapo na wanaendelea vizuri.
 
Back
Top Bottom