Wako wapi waigizaji Bishanga, Aisha na Waridi?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,103
34,063
Baadhi yetu wenye uhenga mdogo tulibahatika kufuatilia igizo la mambo hayo lililokuwa likirushwa na televisheni kongwe ya ITV.

Katika Igizo hilo mwanzoni japo nilikuwa mdogo nakumbuka walikuwepo waigizaji maarufu kipindi hicho cha miaka ya 1997-2000 (kama nipo sijakosea).

Waigizaji hao ni Bishanga Bashaija, Richie Richie, Aisha na Waridi.

Richie (Single Mtambalike) huwa tunamwona, je hao waigizaji wengine wako wapi hivi sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bishanga atakuwa amejiwekeza katika kilimo,miaka kadhaa nyuma nilikutana nae kwenye gari tukitokea Tukuyu akashuka niliposhukia(Katumba) kisha akachukua Noah za kwenda Mwakaleli mi nikaendelea na mambo yangu,story alizokuwa akipiga na jamaa wake katika gari ziliashilia kuwa amejiingiza katika kilimo!,Nenda kwa akina Malafyale ukamwone Bishanga na miwani yake,hao wengine sijui wapo wapi na ningependa kujua walipo!
 
Lakini kiasili Bishanga ni wa Mbeya na sio Muhaya?
Bishanga atakuwa amejiwekeza katika kilimo,miaka kadhaa nyuma nilikutana nae kwenye gari tukitokea Tukuyu akashuka niliposhukia(Katumba) kisha akachukua Noah za kwenda Mwakaleli mi nikaendelea na mambo yangu,story alizokuwa akipiga na jamaa wake katika gari ziliashilia kuwa amejiingiza katika kilimo!,Nenda kwa akina Malafyale ukamwone Bishanga na miwani yake,hao wengine sijui wapo wapi na ningependa kujua walipo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwakumbuka wale Halafu unarudi kwa kina Umber rutty unaona kabisa Tasnia ya Bongo movies 'ili hakiwa' Na kunajisiwa
Mzee unajitahidi kula sahani moja na Vijana! Ila inapunguza magonjwa ya uzeeni na sonono zisizokuwa na maana. Bora hivyo kuliko kukaa kijiwe chetu Kisutu na ubishani wa Simba na Yanga huku tukinywa kahawa tungu na stori za nenda rudi.

Big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bishanga kuna kipindi nilisikia kuna kampuni anafanya nadhani inambana hata kuigiza,na nadhani mwaka jana JB alimpost pia
Aisha ameolewa na anafanya kazi kampuni ya konyagi Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom