Dena Amsi yupo kamili gado, niliongea nae last week. klorokwini alisema hatorudi, sijui nani kamkera. tumuombee roho yake ilainike japo kidoncho aje atupe hi!
Ukiongea na Dena mwambie namdai buku yangu anipe
Lowyer Kloro utakuwa umemuambukiza wewe huo ugonjwa!!
Dah Babu Dark City huyu loya @Klorokwin alipotea siku nyingi jamani.
Kuna watu walikuwa wadau wakubwa sana wa hili jukwaa. Usingeweza kumkosa mtu walau kila week. Ila kwa sasa wamepotea sana kiasi kwamba wanazua hali ya wasiwasi. Naomba tujaribu kupeana taarifa kama kuna mwenye hints ili tujue kama bado wapo!
1. @WomanOfSubtance (kwa mara ya mwisho alichangia kwenye huu uzi , na ilikuwa 30th April 2013
2.@ Klorokwin (hajaonekana jukwaani kwa muda mrefu sana)
3. Dena Amsi
4. Rose1980
5. afrodenzi
6. Nyamayao
7. The Finest
8.
Ahsanteni sana,
Babu DC!!
Huyo hats sijui kimempata kitu gani jamani. Mbona umemsahahu dogo wako wa ukwee. The Finest?
Au kakimbizwa na missiles za akina Karucee...lol!!

How do you do it ili ukitaja jina la mtu hapa linakuwa link? Halafu lazizi wangu Nyamayao alionekana humu kama mwezi mmoja uliopita !
Huku haonekani bana ...!!!!!!!
heheheeh!!! haya nitamwambia. namie nitajiklorokwini we endelea tu kunichokoza.