JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Habari wanabodi!
Ni ukweli lakini mchungu! Ni kama wapo kifungoni walichojifunga wenyewe, CCM hawaamini kinacho endelea katika siasa za Tanzania
Wanatamani UKUTA waanze kuandamana hata kesho ili wapate sababu ya kumshauri Boss Wa Chama chao. Miongoni mwao hawasemezani, ila wakiwa na uhakika wako salama utawasikia wakisema sasa tumefika pabaya!
Tuliwaambia siku nyingi kuwa Udikiteta hauchagui Wa kumuumiza.