UKUTA ndo habari ya mujini.. Hadi makanisani ni UKUTA tu.. duniani kote hbr ni UKUTA UKUTA UKUTA UKUTA tu.. vijana wa uvccm ndo usiombe.. UKUTA umewakolea balaa
du! kweli aise
UKUTA ndo habari ya mujini.. Hadi makanisani ni UKUTA tu.. duniani kote hbr ni UKUTA UKUTA UKUTA UKUTA tu.. vijana wa uvccm ndo usiombe.. UKUTA umewakolea balaa
Hizo laana pia utamu wake utakujongelea kwani huwezi kuishi kwa upanga ukabakia salama.WanaCCM tunaunga mkono KIPIGO mtakachopewa siku hiyo
ukuta utainusuru ccm dhidi ya uongozi wa matamko ya mtu mmoja badala ya katiba ya chama.mfano ni ile kauli aliyoambiwa kikwete kuwa una uvumilivu sana ingekua mimi nusu ya wajumbe wa h/kuu ningewapoteza.Mmekosa watu wa kuandamana mnaanza kusingizia wanaCCM wanawaunga mkono acheni uongo, kama wanaCCM wanawaunga mkono fanyeni hayo maandamano tarehe 1 sept mkione cha mtemakuni.Sisi wanaCCM tunamkubali Magufuli kazi nzuri anayofanya na ataendelea kupambana na genge la wahuni
mbona unawasemea wanaccm wote!Mmekosa watu wa kuandamana mnaanza kusingizia wanaCCM wanawaunga mkono acheni uongo, kama wanaCCM wanawaunga mkono fanyeni hayo maandamano tarehe 1 sept mkione cha mtemakuni.Sisi wanaCCM tunamkubali Magufuli kazi nzuri anayofanya na ataendelea kupambana na genge la wahuni