Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,607
Wengi wameniambia kuwa niache kutumia nukuu za Biblia katika maandiko yangu, lakini hakuna hata mmoja aliyetoa alternatives kuwa nitumie maandiko gani mbadala...kwa hivyo nitaendelea kutumia nukuu za Biblia kwa kuwa ndicho kitabu ninachokiamini na mpaka mtakapofanikiwa kunishawishi kuacha kukiamini na kukitumia.
Biblia inasema "hata ukimtwanga mpumbavu katika kinu pamoja na ngano upumbavu wake hautamtoka"...sio maneno yangu ni maneno ya Kitabu ninachokiamini kuliko vyote. Kristo ambae ni utimilifu wa matumaini amewaita watu "wapumbavu" "viongozi vipofu" n.k amefanya hivyo kwa lengo la kutaka kuwatoa kwenye Giza na kuwaingiza katika Nuru.
Jana niliandika Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni" kuelezea masikitiko yangu na huruma baada ya Heche na Mtatiro kuituhumu NEC na Dola kuwa imedhulumu ushindi wao.
Labda leo nianze kwa pongezi kwa Ujasiri alionao Mtatiro wa kuendelea kuandika facebook kuwa wameporwa ushindi na Dola, maana ni UJASIRI wa kipekee kuendelea kusimamia UJINGA hata baada ya kuoneshwa kuwa umepotoka. Ni sawa ujasiri huu kwa Heche, Lema na Tundu Lissu wanaposimama macho makavu wakisema LOWASSA ndio MUSSA aliyekuwa akisubiriwa kuwavusha wana wa ISRAEL...
Leo nimeamua kuandika kwa msaada wa namba, wajuzi wa mambo wanasema "Numbers don't lie"
MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA DIMANI
MATOKEO YA UDIWANI:
JAMBO LINGINE MUHIMU;-
CCM imechukua takribani Kata mbili kutoka upinzani, KATA ya Tanga ambayo Diwani wake alikuwa ni CHADEMA, lakini kwenye uchaguzi huu matokeo ni kama ifuatavyo:-
NB:
Mgombea wa CHADEMA na ambaye alishinda udiwani Ndg Ndomba aliamua kujivua Uanachama na kuhamia CCM na kugombea kupitia CCM na ameshinda kwa kishindo kuliko ilivyokuwa uchaguzi uliopita ambapo alishinda kwa pungufu ya kura 300, na sasa kupitia CCM ameshinda kwa kura zaidi ya 1100.
Kwa mtu yeyote mwenye akili na anayewaza sawasawa anaweza kuona njia ya anguko kuu la upinzani hapa nchini. Ni Viongozi wachache ambao Bwana Yesu wakati mwingine aliwaita WAPUMBAVU au VIONGOZI VIPOFU ndio wanaweza kuendelea kujidanganya kuwa matokeo haya na trend hii sio kitu kwao.
CHAMA CHANGU PENDWA CCM kinaposema kuwa kimeacha SIASA za kubwatuka, wanamaanisha, ndio maana wamemleta Polepole, the man is focused and calm. Hapigi kelele anaongea kwa vituo, taratibu na kwa ufasaha.....Kuongea kwa JAZBA, Munkari, Hasira na kelele nyingi amewaachia TUNDU LISSU na wenzake, wao wanadhani bado wanapambana na NAPE.
Thread hii inawaambia JUU YA KESHO YENU..., mkitaka mnaweza kunishukuru kwa kuwafungua akili na mkitaka mnaweza kuendelea kutukana...!!!

Jan 2017; CCM - 4860 {78.74}
Oct 2015; CCM - 4403 {63.9}
Kwa hesabu rahisi sana, ushindi wa CCM umeongezeka sio kwa asilimia tu bali kwa idadi ya kura pia. CCM wameongeza takribani kura 400.
Jan 2017; CUF - 1234
Oct 2015; CUF - 2306
Ukitazama kwa macho ya kawaida kabisa utagundua kuwa kura za CUF zimepungua kwa zaidi ya asilimia 50%.
HII MAANA YAKE NINI..?
Matokeo hayo yanasema kuwa Chama cha Wananchi CUF kimepoteza ushawishi wake kwa wananchi kwa zaidi ya asilimia 50, kwa lugha nyingine zaidi ya nusu ya wanachama/wakereketwa wao waliokuwa wanawaounga mkono uchaguzi uliopita wameacha kufanya hivyo sasa, na kwamba takribani nusu ya wapiga kura wao wameichagua CCM na mgombea wake na nusu wamegoma kupiga kura kabisa.
Kwa Chama cha siasa kupoteza ushawishi na wapiga kura kwa zaidi ya asilimia 50 kwa muda wa mwaka mmoja, sio tu ni anguko bali ni KIAMA kamili, kwa maana kwa trend hii CUF kinamwaka mmoja tu kupoteza nusu iliyobaki, abakie Mtatiro na Lipumba peke yao waendelee kugombea ruzuku na Uenyekiti.

Summary;
Kwenye siasa yapo maeneo yanatambulika kuwa ni NGOME ya chama fulani cha siasa ama ya mwanasiasa fulani. Dodoma imekuwa ni Ngome ya CCM miaka yote tangu uhuru na Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro) imekuwa si sehemu salama sana kwa CCM tangu vyama vingi, kwa lugha nyingine ni Ngome ya Upinzani kwa miaka mingi.
Kwenye Uchaguzi huu wa marudio mambo yalikuwa kama ifuatavyo:
Matokeo yote hapo juu yanaonyesha kuwa CHADEMA wamezidiwa zaidi ya NUSU ya kura zilizoipa ushindi CCM.
NB:
Aliyekuwa Diwani wa Mateves CCM alihama na kujiunga CHADEMA tarehe 8/8/2015...hii inatoa picha kuwa nguvu ya CDM ilikuwa kiasi gani hata DIWANI wa CCM akubali kuachia udiwani na kuhamia upinzani.
Kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, mgombea wa CCM Ndg Julius Saing’ore alishinda kwa magin ndogo sana (kura hazikuzidi 100) na kutokana na utata wa ushindi huo mahakama ilimtengua. CCM hawakubadili MGOMBEA ila mgombea yule yule wa chama kile kile ambae alishinda kwa pungufu ya kura 100 leo ameshinda kwa zaidi ya kura 500.
Kwenye siasa yapo maeneo yanatambulika kuwa ni NGOME ya chama fulani cha siasa ama ya mwanasiasa fulani. Dodoma imekuwa ni Ngome ya CCM miaka yote tangu uhuru na Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro) imekuwa si sehemu salama sana kwa CCM tangu vyama vingi, kwa lugha nyingine ni Ngome ya Upinzani kwa miaka mingi.
Kwenye Uchaguzi huu wa marudio mambo yalikuwa kama ifuatavyo:
ARUSHA
KILIMANJARO
Kata ya Mateves
CCM 1,322
CHADEMA 854
Kata ya Ngarenanyuki
CCM 1,615
CHADEMA 764
CCM 1,322
CHADEMA 854
Kata ya Ngarenanyuki
CCM 1,615
CHADEMA 764
Kata ya Lembeni
CCM 1,668
CHADEMA 637
CCM 1,668
CHADEMA 637
NB:
Aliyekuwa Diwani wa Mateves CCM alihama na kujiunga CHADEMA tarehe 8/8/2015...hii inatoa picha kuwa nguvu ya CDM ilikuwa kiasi gani hata DIWANI wa CCM akubali kuachia udiwani na kuhamia upinzani.
Kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, mgombea wa CCM Ndg Julius Saing’ore alishinda kwa magin ndogo sana (kura hazikuzidi 100) na kutokana na utata wa ushindi huo mahakama ilimtengua. CCM hawakubadili MGOMBEA ila mgombea yule yule wa chama kile kile ambae alishinda kwa pungufu ya kura 100 leo ameshinda kwa zaidi ya kura 500.
JAMBO LINGINE MUHIMU;-
CCM imechukua takribani Kata mbili kutoka upinzani, KATA ya Tanga ambayo Diwani wake alikuwa ni CHADEMA, lakini kwenye uchaguzi huu matokeo ni kama ifuatavyo:-
Kata ya Kimwani - Muleba
Kata ya Tanga - Songea Manispaa
CHADEMA- 722
CCM - 2,559
CDM - 1,866
CDM - 1,866
CCM - 1,867