Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

NO EQUAL POLITICAL GROUNDS,CCM HATA WAKIWEKA PAKA ATASHINDA TU.
 
Naomba kuuliza (usikosee kuelewa)

Hili jina shonza halikutoholewa kutoka neno "shenzi"

Kuna majibu mawili tu, yaani ndio au hapana.

Wewe kweli ni mtu uliyobobea na makini sana katika uchambuzi na kujibu hoja na ikiwa kuna watu wanafuatilia majibu yako basi watajua wafuasi wenye akili namna hii ni watu wa kuwachukulia serious sana hivyo lazima wawaunge mkono katika itikadi zenu. Bravo, endelea hivyo hivyo kujenga chama!
 
Acha kudharilisha kitabu cha dini kwa ajili ya upuuzi wako wa akili finyu

Kitabu cha dini ni cha kila mtu akitumie atakavyo, majibu atamjibu Mungu wake wewe wala hauhusiki, wewe muache, kwani kinakuuma nini akitoa mifano ili aeleweke kwa hao anaotaka wamuelewe? Au na wewe dawa imekuingia?
 
Hivi huyu Dada huwa ana kazi ya kufanya??muombe Mungu akuondolee unafiki,kujipendekeza,nk.
Akupe roho ya maombi ili ushughulike na kuwalea watoto wako(sijui kama umejaaliwa kuwa na mmoja)na mumeo upatapo muda nje ya shughuli za bunge

Kati ya jambo ninaloliogopa na watu ninaowaogopa kupita ni wanafiki!aki Juliana we ni mnafiki jamani!,,uuugh!!jamani jamani,sijawahi ona MTU mnafiki halafu ana ujasiri mkuu kama wewe.yaani ni ajabu kuwa na MTU kama wewe bungeni!

Watu wanafiki kama wewe huwa wanakuwaga Ama waliwahi kuwa na tabia chafu sana katika jamii hivyo huwapelekea kuwa na ujasiri WA tofauti sana,wanaweza kusema jambo lolote bila kujali kuwa wanapingana na nafsi/dhamira zao,mfano mzuri ni mwanamke kahaba Ama aliyewahi kuwa kahaba,huo ni mfano tuu.Kahaba angeweza kusema lolote na hata kuapa kwa kutumia chochote hata biblia bila kuogopa!!Kahaba has nothing to lose,kwani amefanya matukio makubwa mno maishani ambayo ni risky!!
Juliana ningekuwa mwandishi by professional ningeandika kitu kuhusu wewe!Dada una roho Nene ajabu!!sitegemei uniquote kabisa !

Unaishia kusema tu oh wewe mnafiki, wewe mnafiki, sema unafiki wake uko wapi, amefanya nini? Amesema huyu fisadi halafu kesho yake akageua akasema ni msafi? Amesema huyu ni laana halafu kesho akatuambia na mtukufu ni Musa. Usiishie kusema tu ni mnafiki, eleza unafiki wake ili upate kumvua nguo na kila mtu ajue unafiki wake ni nini na hata ikiwezekana tumlinganishe na wanafiki wengine waliowahi kutokea katika siasa za nchi hii halafu tuwatafute wanasiasa wasio wanafiki, tuwatambue na tuwataje kwa majina. Inawezekana unazungumzia unafiki kumbe hata unafiki wenyewe huujui maana yake
 
K
Dada Shonza, inawezekana unachosema kina ukweli lakini ni busara kuwa mkweli kuliko kuwa mshabiki. Ninachoona mimi ni kwamba watanzania wengi wameamka kisiasa na wanaona kabisa kwamba hakuna Demokrasia ya kweli kwa sasa. Vyama vya upinzani vimenyimwa haki na uhuru wa kutumia jukwaa lao la kisiasa la kuwafikia wapiga kura wao. Bidhaa zako kama huzitangazi huwezi pata mauzo mazuri.
Kwa nini wanaingia kila uchaguzi wakati wanajua yote hayo???
 
Mimi ninaamini kuwa waendeshaji na wasimamizi wa maahindano yoyote huweka vigezo ambavyo vitahakikisha kuwa kila timu/mshindani anawekewa mazingira sawa na mwingine. Hapo ndipo penye haki. Matokeo yote baada ya hapo hayawezi kuleta malalamiko. Tujiulize ni kwwli mazingira ya kisiasa nchini yanatoa fursa sawa kwa wore, kama sivyo wengine wataachaje kulalamika. Nashauri mazingira ya kisoasa yawe huru kwa wote kisha mechi ijayo tione matokeo yatakuwaje
Wanaposhinda CHADEMA, CUF, ACT au NCCR mazingira daima yanakuwa sawa, ila ikitokea imeshinda CCM mazingira huwa hayapo sawa, huyu nae ni Mtanzania mwenye kuamini katika mabadiliko na anasubiri Serikali imletee maendeleo. Anyway tutafika tu...
 
Unaishia kusema tu oh wewe mnafiki, wewe mnafiki, sema unafiki wake uko wapi, amefanya nini? Amesema huyu fisadi halafu kesho yake akageua akasema ni msafi? Amesema huyu ni laana halafu kesho akatuambia na mtukufu ni Musa. Usiishie kusema tu ni mnafiki, eleza unafiki wake ili upate kumvua nguo na kila mtu ajue unafiki wake ni nini na hata ikiwezekana tumlinganishe na wanafiki wengine waliowahi kutokea katika siasa za nchi hii halafu tuwatafute wanasiasa wasio wanafiki, tuwatambue na tuwataje kwa majina. Inawezekana unazungumzia unafiki kumbe hata unafiki wenyewe huujui maana yake
Akili kubwa imeleta maneno kuntu...hawawezi kuja kujibu hii.
 
Safi sana kwa kuonyesha jinsi gani "Numbers don't lie'. Tatizo la wapinzani hakuna wasomi wa sayansi. Ni watu waliokimbia hisabati na kusomea ufundi wa bla bla za maneno. Wamejitahidi kupata mwanasayansi mmoja wa mambo ya usingizi anayeitwa Dr Mashinji wakazani atawasaidia. Ameshindwa na kujiamulia kukaa kimya. Hakika safari ya upinzani bado ni ndefu. Dunia ya sasa ni ya sayansi. Wanahitaji kufanya mabadiliko ya mifumo ya vyama vyao na kuweka wanasayansi wengi ndani ya vyama vyao.
Wana macho lakini hawaoni...!!
 
Wewe dada maandiko matakatifu huyajui.Hivi unajuwa kweli hayo maandiko kwenye bibilia yanaanisha nini?inaonyesha kwamba hao viongozi wapumbavu walio zungumziwa kwenye bibilia ni akina nani.Bibilia inafundisha watu kumcha mungu yaani kufuata matendo ya mungu.Unataka kuniambia hao viongozi wa ccm na serikali wanamcha mungu!!!? Viongozi wa ccm na serikali ukija kuangalia kwa mbali viongozi wa serikali na ccm yako ni wamojawapo ya viongozi walioongekewa kwenye bibilia.Kwani wameshindwa kuwaongoza watanzania, waneshindwa kuwaketea maendeleo.miaka 50 sasa wako madarakani lakini watanzania ni masikini wakutupwa.Viongozi wako wamejaa dhuluma.mikono yao imejaa damu za watu wasiokuwa na hatia.Hawamchi mungu kama wanamcha mungu wangefanya haki katika kila chaguzimioyono mwao wanajuwa hayo na wewe unajuwa pia moyoni mwako kwamba hamuwafanyii wengine haki kwasababu tu ni wapinzani wenu. MUNGU KASEMA MPENDE ADUI YAKO KAMA UNAVYO JIPENDA WEWE MWENYEWE. Wasiowapa haki zao wapinzani wao ndio mojawapo ya wapumbavu waliozungumziwa katika bibilia. Wewe dada ni kipofu wa aakili, unatafsiri bibikia kwa upumbavu wako. Bibilia huwezi kuielewa., hata uisome mara elfu.Unatakiwa uwe na nia ya kumcha mungu kwanza ndio utayaelewa maandiko katika kitabu takatifu cha mungu. HUWEZI POTOSHA WANAO JIELEWA BALI UTAWAPOTOSHA WASIOJIELEWA KAMA WEWE NA MANDONDOCHA WENZIO WA CCM.
 
Hivi ulishawahi kusikia kwenye nchi za watu zenye demokrasia na chaguzi Huru MTU/CHAMA kushughulikiwa wakati wa kampeni?Na ikitokea uchaguzi utaendelea au LA? Wahusika wataachwa wale BATA kama huku wanavyojifanya mabata maji?Ningekuelewa kama ungeongelea changamoto kama za daftari LA wapiga kura kuchezewa,wakala kutolewa vituoni,askari kupiga watu,kukamatwa viongozi/ eashabiki kwa sababu za kitoto na zingine nyingi ambazo hata tume hawataki hata kuzisema kwa vinywa vyao.Ni aibu kujisifia kuwa una mbio wakati washindani wamefungwa mikono nyuma.
 
Wengi wameniambia kuwa niache kutumia nukuu za Biblia katika maandiko yangu, lakini hakuna hata mmoja aliyetoa alternatives kuwa nitumie maandiko gani mbadala...kwa hivyo nitaendelea kutumia nukuu za Biblia kwa kuwa ndicho kitabu ninachokiamini na mpaka mtakapofanikiwa kunishawishi kuacha kukiamini na kukitumia.

Biblia inasema "hata ukimtwanga mpumbavu katika kinu pamoja na ngano upumbavu wake hautamtoka"...sio maneno yangu ni maneno ya Kitabu ninachokiamini kuliko vyote. Kristo ambae ni utimilifu wa matumaini amewaita watu "wapumbavu" "viongozi vipofu" n.k amefanya hivyo kwa lengo la kutaka kuwatoa kwenye Giza na kuwaingiza katika Nuru.

Jana niliandika Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni" kuelezea masikitiko yangu na huruma baada ya Heche na Mtatiro kuituhumu NEC na Dola kuwa imedhulumu ushindi wao.

Labda leo nianze kwa pongezi kwa Ujasiri alionao Mtatiro wa kuendelea kuandika facebook kuwa wameporwa ushindi na Dola, maana ni UJASIRI wa kipekee kuendelea kusimamia UJINGA hata baada ya kuoneshwa kuwa umepotoka. Ni sawa ujasiri huu kwa Heche, Lema na Tundu Lissu wanaposimama macho makavu wakisema LOWASSA ndio MUSSA aliyekuwa akisubiriwa kuwavusha wana wa ISRAEL...

Leo nimeamua kuandika kwa msaada wa namba, wajuzi wa mambo wanasema "Numbers don't lie"

MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA DIMANI
Jan 2017; CCM - 4860 {78.74}
Oct 2015; CCM - 4403 {63.9}

Kwa hesabu rahisi sana, ushindi wa CCM umeongezeka sio kwa asilimia tu bali kwa idadi ya kura pia. CCM wameongeza takribani kura 400.

Jan 2017; CUF - 1234
Oct 2015; CUF - 2306

Ukitazama kwa macho ya kawaida kabisa utagundua kuwa kura za CUF zimepungua kwa zaidi ya asilimia 50%.

HII MAANA YAKE NINI..?

Matokeo hayo yanasema kuwa Chama cha Wananchi CUF kimepoteza ushawishi wake kwa wananchi kwa zaidi ya asilimia 50, kwa lugha nyingine zaidi ya nusu ya wanachama/wakereketwa wao waliokuwa wanawaounga mkono uchaguzi uliopita wameacha kufanya hivyo sasa, na kwamba takribani nusu ya wapiga kura wao wameichagua CCM na mgombea wake na nusu wamegoma kupiga kura kabisa.

Kwa Chama cha siasa kupoteza ushawishi na wapiga kura kwa zaidi ya asilimia 50 kwa muda wa mwaka mmoja, sio tu ni anguko bali ni KIAMA kamili, kwa maana kwa trend hii CUF kinamwaka mmoja tu kupoteza nusu iliyobaki, abakie Mtatiro na Lipumba peke yao waendelee kugombea ruzuku na Uenyekiti.​

MATOKEO YA UDIWANI:
Summary;
Kwenye siasa yapo maeneo yanatambulika kuwa ni NGOME ya chama fulani cha siasa ama ya mwanasiasa fulani. Dodoma imekuwa ni Ngome ya CCM miaka yote tangu uhuru na Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro) imekuwa si sehemu salama sana kwa CCM tangu vyama vingi, kwa lugha nyingine ni Ngome ya Upinzani kwa miaka mingi.

Kwenye Uchaguzi huu wa marudio mambo yalikuwa kama ifuatavyo:
ARUSHA
Kata ya Mateves
CCM 1,322
CHADEMA 854
Kata ya Ngarenanyuki
CCM 1,615
CHADEMA 764
KILIMANJARO
Kata ya Lembeni
CCM 1,668
CHADEMA 637
Matokeo yote hapo juu yanaonyesha kuwa CHADEMA wamezidiwa zaidi ya NUSU ya kura zilizoipa ushindi CCM.

NB:
Aliyekuwa Diwani wa Mateves CCM alihama na kujiunga CHADEMA tarehe 8/8/2015...hii inatoa picha kuwa nguvu ya CDM ilikuwa kiasi gani hata DIWANI wa CCM akubali kuachia udiwani na kuhamia upinzani.

Kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, mgombea wa CCM Ndg Julius Saing’ore alishinda kwa magin ndogo sana (kura hazikuzidi 100) na kutokana na utata wa ushindi huo mahakama ilimtengua. CCM hawakubadili MGOMBEA ila mgombea yule yule wa chama kile kile ambae alishinda kwa pungufu ya kura 100 leo ameshinda kwa zaidi ya kura 500.
JAMBO LINGINE MUHIMU;-
CCM imechukua takribani Kata mbili kutoka upinzani, KATA ya Tanga ambayo Diwani wake alikuwa ni CHADEMA, lakini kwenye uchaguzi huu matokeo ni kama ifuatavyo:-

Kata ya Kimwani - Muleba
CCM - 2,559
CDM - 1,866
Kata ya Tanga - Songea Manispaa
CCM - 1,867
CHADEMA- 722
NB:
Mgombea wa CHADEMA na ambaye alishinda udiwani Ndg Ndomba aliamua kujivua Uanachama na kuhamia CCM na kugombea kupitia CCM na ameshinda kwa kishindo kuliko ilivyokuwa uchaguzi uliopita ambapo alishinda kwa pungufu ya kura 300, na sasa kupitia CCM ameshinda kwa kura zaidi ya 1100.
Kwa mtu yeyote mwenye akili na anayewaza sawasawa anaweza kuona njia ya anguko kuu la upinzani hapa nchini. Ni Viongozi wachache ambao Bwana Yesu wakati mwingine aliwaita WAPUMBAVU au VIONGOZI VIPOFU ndio wanaweza kuendelea kujidanganya kuwa matokeo haya na trend hii sio kitu kwao.

CHAMA CHANGU PENDWA CCM kinaposema kuwa kimeacha SIASA za kubwatuka, wanamaanisha, ndio maana wamemleta Polepole, the man is focused and calm. Hapigi kelele anaongea kwa vituo, taratibu na kwa ufasaha.....Kuongea kwa JAZBA, Munkari, Hasira na kelele nyingi amewaachia TUNDU LISSU na wenzake, wao wanadhani bado wanapambana na NAPE.

Thread hii inawaambia JUU YA KESHO YENU..., mkitaka mnaweza kunishukuru kwa kuwafungua akili na mkitaka mnaweza kuendelea kutukana...!!!
Na Mimi nanukuu maandiko ila usiniulize ni

Pia kuna andiko linasema "enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga" hill pia linawafaa ulitumie kwenye makala zako.
 
J
AMBO LINGINE MUHIMU;-
CCM imechukua takribani Kata mbili kutoka upinzani, KATA ya Tanga ambayo Diwani wake alikuwa ni CHADEMA, lakini kwenye uchaguzi huu matokeo ni kama ifuatavyo:-

Kata ya Kimwani - Muleba
CCM - 2,559
CDM - 1,866
Kata ya Tanga - Songea Manispaa
CCM - 1,867
CHADEMA- 722
NB:
Mgombea wa CHADEMA na ambaye alishinda udiwani Ndg Ndomba aliamua kujivua Uanachama na kuhamia CCM na kugombea kupitia CCM na ameshinda kwa kishindo kuliko ilivyokuwa uchaguzi uliopita ambapo alishinda kwa pungufu ya kura 300, na sasa kupitia CCM ameshinda kwa kura zaidi ya 1100.
Kwa mtu yeyote mwenye akili na anayewaza sawasawa anaweza kuona njia ya anguko kuu la upinzani hapa nchini. Ni Viongozi wachache ambao Bwana Yesu wakati mwingine aliwaita WAPUMBAVU au VIONGOZI VIPOFU ndio wanaweza kuendelea kujidanganya kuwa matokeo haya na trend hii sio kitu kwao.

CHAMA CHANGU PENDWA CCM kinaposema kuwa kimeacha SIASA za kubwatuka, wanamaanisha, ndio maana wamemleta Polepole, the man is focused and calm. Hapigi kelele anaongea kwa vituo, taratibu na kwa ufasaha.....Kuongea kwa JAZBA, Munkari, Hasira na kelele nyingi amewaachia TUNDU LISSU na wenzake, wao wanadhani bado wanapambana na NAPE.

Thread hii inawaambia JUU YA KESHO YENU..., mkitaka mnaweza kunishukuru kwa kuwafungua akili na mkitaka mnaweza kuendelea kutukana...!!!
Mkuu hizi namba hazidanganyi upande mmoja tu? Maana na wao watakuuliza upinzani ulikuwa na wabunge na madiwani wangapi 1995, 2000, 2005, 2010 na 2015, so jiandae kwa 2020
 
The problem with you umeandika kishabiki sana tena umeandika below your current status as nominated mp.
Hii inaonyesha jinsi ambavyo bado una practice siasa za ki harakati ,hata hivyo that's your level mtu mwenyewe Mbunge wa Vito maalum.
Back to the point,awamu ya tano imekuja na slogan ya kutofanya siasa till uchaguzi ujao,wakati wao kutwa kuzunguka wakifanya siasa kwa mgongo wa ukaguzi wa maendeleo,wapinzani wamepigwa pini no public political ralies wakati wenzao wanashambulia nchi kwa mikutanao ya hadhara,huku pm,huku prezo,huku ma Rc ,DC,mawaziri nk.
Kwa akili yako wewe unazani wapinzani watapata wapi nafasi ya kuongea na wananchi ,politics is a game of numbers Juliana mwenzako akikuminya tu Keisha Habari yako.
So kihalisia ccm hawana la kujivunia kwenye ushindi huu,labda wajivunie uminywaji wa viama vya upinzani,wapinzani hawana poa kusemea,Bunge haliendi live, vyombo vya habari vinavyo andika negatively about the government vinapigwa mkwara where do you think hawa wapinzani watapata Waumini wapya juliana?
 
Hali ya mgonjwa " ukawa" inazidi kua mbaya!
 
Back
Top Bottom