Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

Wakitaka kuijua kesho yao wasome hapa..!!

Wengi wameniambia kuwa niache kutumia nukuu za Biblia katika maandiko yangu, lakini hakuna hata mmoja aliyetoa alternatives kuwa nitumie maandiko gani mbadala...kwa hivyo nitaendelea kutumia nukuu za Biblia kwa kuwa ndicho kitabu ninachokiamini na mpaka mtakapofanikiwa kunishawishi kuacha kukiamini na kukitumia.

Biblia inasema "hata ukimtwanga mpumbavu katika kinu pamoja na ngano upumbavu wake hautamtoka"...sio maneno yangu ni maneno ya Kitabu ninachokiamini kuliko vyote. Kristo ambae ni utimilifu wa matumaini amewaita watu "wapumbavu" "viongozi vipofu" n.k amefanya hivyo kwa lengo la kutaka kuwatoa kwenye Giza na kuwaingiza katika Nuru.

Jana niliandika Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni" kuelezea masikitiko yangu na huruma baada ya Heche na Mtatiro kuituhumu NEC na Dola kuwa imedhulumu ushindi wao.

Labda leo nianze kwa pongezi kwa Ujasiri alionao Mtatiro wa kuendelea kuandika facebook kuwa wameporwa ushindi na Dola, maana ni UJASIRI wa kipekee kuendelea kusimamia UJINGA hata baada ya kuoneshwa kuwa umepotoka. Ni sawa ujasiri huu kwa Heche, Lema na Tundu Lissu wanaposimama macho makavu wakisema LOWASSA ndio MUSSA aliyekuwa akisubiriwa kuwavusha wana wa ISRAEL...

J
AMBO LINGINE MUHIMU;-
CHAMA CHANGU PENDWA CCM kinaposema kuwa kimeacha SIASA za kubwatuka, wanamaanisha, ndio maana wamemleta Polepole, the man is focused and calm. Hapigi kelele anaongea kwa vituo, taratibu na kwa ufasaha.....Kuongea kwa JAZBA, Munkari, Hasira na kelele nyingi amewaachia TUNDU LISSU na wenzake, wao wanadhani bado wanapambana na NAPE.

Thread hii inawaambia JUU YA KESHO YENU..., mkitaka mnaweza kunishukuru kwa kuwafungua akili na mkitaka mnaweza kuendelea kutukana...!!!
Kiukweli tulikuwa tunaidharau jf, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya, yamesaidia saidia, huwezi jua!. Zamani nilikuwa napitia mabandiko yako kwa dharau na kujibu kwa kejeli, lakini baada ya uteuzi, sasa napitia mabandiko yako yote kwa makini zaidi, heshima na adabu haswa kwa kuzingatia wewe sasa ndio bosi wangu kwenye tasnia ya habari.

Karibu Boss, Mheshimiwa saba, Bi Juliana Shonza.

Paskali.
 
Hivi huyu Dada huwa ana kazi ya kufanya??muombe Mungu akuondolee unafiki,kujipendekeza,nk.
Akupe roho ya maombi ili ushughulike na kuwalea watoto wako(sijui kama umejaaliwa kuwa na mmoja)na mumeo upatapo muda nje ya shughuli za bunge

Kati ya jambo ninaloliogopa na watu ninaowaogopa kupita ni wanafiki!aki Juliana we ni mnafiki jamani!,,uuugh!!jamani jamani,sijawahi ona MTU mnafiki halafu ana ujasiri mkuu kama wewe.yaani ni ajabu kuwa na MTU kama wewe bungeni!

Watu wanafiki kama wewe huwa wanakuwaga Ama waliwahi kuwa na tabia chafu sana katika jamii hivyo huwapelekea kuwa na ujasiri WA tofauti sana,wanaweza kusema jambo lolote bila kujali kuwa wanapingana na nafsi/dhamira zao,mfano mzuri ni mwanamke kahaba Ama aliyewahi kuwa kahaba,huo ni mfano tuu.Kahaba angeweza kusema lolote na hata kuapa kwa kutumia chochote hata biblia bila kuogopa!!Kahaba has nothing to lose,kwani amefanya matukio makubwa mno maishani ambayo ni risky!!
Juliana ningekuwa mwandishi by professional ningeandika kitu kuhusu wewe!Dada una roho Nene ajabu!!sitegemei uniquote kabisa !

Tuthibitishie unafiki wake tuelewe kama vipi wewe ndio utakuwa mnafiki weka wazi
 
Back
Top Bottom